Katika hiyo tungo neno "handsome" lina maana zaidi ya uhandsome wenyewe mfano
Kuwa handsome katika swala la kipato
Kuwa handsome kwa maana ya kuwa smart kiakili na kadhalia... Hii ni changamoto kiukweli..
huu msemo nimeuona kwenye daladala moja Leo nikafiria sana mwishoni nikaona kuna ukweli Fulani.sijui wenzangu mnasemaje

Hapo kwenye RED - inawezekana kweli?
Hapo kwenye RED - inawezekana kweli?
Mkuu hujui utaratibu wa hii dunia yetu? Ukiwa na pesa utapata sifa zote....hendsam wewe,mtakatifu wewe, unaakili wewe yan sifa zote nzuri zako
Kwa maana hiyo, nimekupata. Ni kweli mwenye pesa huvikwa vilemba vya ukoka!