Mama Brian
JF-Expert Member
- Feb 7, 2010
- 320
- 21
Yaani nimecheka hadi basi.....Mimi nikimkuta M2 anakula Wife...Ntaishia kuwaambia... "Acheni utani jamani,Acheni utani jamani"... "Mbona mnataniana jamani"..."Acheni utani..."
Unarejea safari kama hivi, chumbani kwako jamaa amepumzika kitandani pako na "mai waifu wako" ....hana wasi hata kidogo!.