A man is not a man until he has a house of his own."

Nivea

JF-Expert Member
May 21, 2012
7,459
4,748
"The house itself was identical to hundreds of others built on postage-stamp sized plots on dirt roads. It had the same standard tin roof, the same cement floor, a narrow kitchen and a bucket toilet at the back... It was the opposite of grand but it was my first true home of my own and I was mightily proud. A man is not a man until he has a house of his own."

— Mandela, on 8115 Orlando Wes
is it true ?????????????mimi naunga hoja mkono .kwamba
''A man is not a man until he has a house of his own."
 
mwache awe na majumba kibao.. Halafu a gobole liwe halifyatui ''jogoo hapandi mtungi'' ...then utakuja kumsifia tena ukamilifu wa UANAUME WAKE.... Nivea
 
Last edited by a moderator:
Kama huna nyumba yako ulojenga mwenyewe sio mwanaume ulokamilia hakianani wanaume kamili ni wachache sana lol mkuu vanmedy
 
Last edited by a moderator:
Mna mambo sana ninyi viumbe wa kike
'
Mawazo ya kahawa haya
'
Nivea umepika nini leo?
 
Last edited by a moderator:
Hehehehhe Eiyer sijasema mie kasema mandela nimepika viazi vitamu na supu ya ngombe iliyoungwa na majani muafaka karibu tule mkuu,una nyumba wewe au umepanga?
 
Last edited by a moderator:
mwache awe na majumba kibao.. Halafu a gobole liwe halifyatui ''jogoo hapandi mtungi'' ...then utakuja kumsifia tena ukamilifu wa UANAUME WAKE.... Nivea

we shadadia tu uume .hata mashoga ni wanaume pia mkuu.ila nyumba ni muhimu mkuu.
 
Last edited by a moderator:
And a woman who has a house of her own? Is she a man?
Haya wanaume humu wanyooshe vidole.... Juuu!
 
am doing whats make me happy, am proud to posses a byutiful car, yaani kipira cha maana afu ndo niwaze kuwa na nyumba
 
Hehehehhe Eiyer sijasema mie kasema mandela nimepika viazi vitamu na supu ya ngombe iliyoungwa na majani muafaka karibu tule mkuu,una nyumba wewe au umepanga?

Una visa sana wewe,lakini si umesema unamuunga mkono?Nina nyumba zaidi ya 5,nadhani nitakuwa nimekuwa zaidi ya MWANAUME maana inahitajika nyumba 1 tu kumfanya mwanaume kuwa MWANAUME!Lol!
 
Last edited by a moderator:
we shadadia tu uume .hata mashoga ni wanaume pia mkuu.ila nyumba ni muhimu mkuu.

sijashadadia kuwa na uume mkuu.. Usipotoshe uhalisia... "FACT YANGU HAPA NLIKUWA NAMAANISHA URIJALI"" hata huyo shoga aweza kuwa na majumba lukuki na JE UTAMPA HUO UKAMILIFU WA MWANAUME KAMILI??
 
Kama huna nyumba yako ulojenga mwenyewe sio mwanaume ulokamilia hakianani wanaume kamili ni wachache sana lol mkuu vanmedy

Ukipigwa ngumi hapa usije kunililia mimi....... we haya we..!
 
Last edited by a moderator:
ukizaliwa maskini unaweza kuwa na mawazo mengi sana ya ajabu na mengine ya kuchekesha, mtu anaona kuwa na nyumba ni kitu cha ajabu sana, pia mwingine anaona kumiliki gari ni kitu cha jabu saana. wakati mtu mwingine anawaza kuwa na kampuni yake inayokua kwa faida na kufungua kiwanda a day ndio awe "man" . wewe unawaza eti kumiliki tu ka-kibanda ndio roho yako iwe kwatu, au mwingine anawaza tu amiliki ka-miguu minne ndio roho yake iwe kwatu. sikushangai ni kwasababu umezaliwa kwenye familia maskini.
 
na kweli nimezaliwa familia maskini sana.kila mtu anazaliwa empty handed tunafight tu kuondoa hili gap la poverty
 
Hivi nyinyi mnajifananisha na mandela..

Mandela ni zaidi ya mwanaume kwa maamuzi yake ya kiume aliyoyafanya maishani..

Nina imani hata tulete mbwembwe vipi humu jamvini hakuna kidume kinachoweza kusimama na mandela hata wakisema wote tuzaliwe upya..

So kwa sababu kasema mandela nimefyata kimyaaaaaa nawaachia majamaa yanayojifanya yako sawa na mandela wakati obama anakuja tu yanakesha yanafagia barabara,, yanafungiwa bara bara na ccm kisa obama yanachekelea tu kama hayaoni, wanaamini mwanaume anasifiwa kwa kumiliki wanawake wengi na kukesha juu ya viuno wakati wanaume wanasifiwa kumiliki mpunga, hivi bill gates akisimama na mzee mwenye wake 30 na watoto 90 nani anaonekana mwanaume duniani?
 
Sio kila analosema Mandela ni sahihi kwa kila mtu.

Na si nabii kwamba hakosei

Kuwa na nyumba na kutokuwa nayo kwa wengine ni personal choice

Na hata kwa wale wanaolazimika kutokuwa na nyumba kwa mfano kwa sababu fedha walizonazo wanalazimika kuwalipia wadogo zao elimu, hawapungukiwi na uanaume wao kwa sababu hawana nyumba
 
MKATA KIU uko sawasawa wewe?
'
Mandela kafanya nini kipya?
'
Maamuzi gani ya ajabu na ya kutisha aliyoyafanya?
'
Kwako uanaume ni nini?
'
Sikutaka kusema haya lakini kwa kauliyako nakueleza kuwa hapa Mandela alipotoka sana na hakupaswa kuzungumza maneno ya hovyo kama haya!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom