A man has been found dead in his home, strangled to death by his giant python

Mkuu hao walikuwa Orchestra Safari Sound (OSS ) wana Ndekule chini ya Maalim Gurumo akiwa na Hassan Rehani Bitchuka.

Vv

Orchestra Safari Sound ilikuwa pia ina maestro Ndala Kasheba na ndipo nyimbo kama Ford, Shida, Majuto, Homa Imenizidia, Christina Moshi, Majuto na zingine.

Zamani kulikuwa na burudani hasa ya bendi hizi OSS na Mlimani kulumbana kama ule wimbo wa Mlimani Park wa Talaka rejea.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom