A Man from year 2256.. Time travel

Movie ya continuum na story za time travellers, eti wanaulizana "when are you from"? Hahaha funny.
 
Yangu macho maana naona manyota nyota
 
aisee nimesoma sana na kufatilia hii issue ya time traveller....mm naamini kwa % fulani kutakuwa na ukweli,

dunia inasiri nyingi sana na muda unavyozidi kwenda ndio zinavyozidi kufichuja.

nikirudi kwenye swali kama ningeweza kurudi ningerudi miaka ya kuzaliwa nyerere.
 
Mimi ilikua kidogo niamini...lakini nilipowaza kama nikirudi enzi za babu yangu then nikamuua itakuwaje?? Ntazaliwa??
Kuanzia hapo nikaanza kufwatilia na kusoma vitabu kwa kujifurahisha kama story za ma allien tu
 
Mkuu baada ya physics hii ...hizi zitakuwa story kama za ma allien na UFO tu
 
hahaha hilo swali mm pia nimejiuliza sana,
wakati mwingine inawezekana ni uchawi na ushirikina maana kama ukienda ukamuua inamaana utabadilisha kila kitu hadi uwepo wako na ww...
 
hahaha hilo swali mm pia nimejiuliza sana,
wakati mwingine inawezekana ni uchawi na ushirikina maana kama ukienda ukamuua inamaana utabadilisha kila kitu hadi uwepo wako na ww...
Hahaaa sijui hio cycle itaishia wapi..maana ukimuua inamaana hauta exist tena then babu yako hata uwawa na wewe halafu weqe utazaliwa
... huu ujinga duh
 
Mkuu baada ya physics hii ...hizi zitakuwa story kama za ma allien na UFO tu
Hahaha, mkuu kwa physics inayojulikana sasa ya Standard Model of Particle Physics, Einstein's Theory of Relativity na Quantum Theory, kitu chochote chenye uzito, hata mdogo vipi, hakiwezi kufikia the speed of light in a vacuum.

Labda tugundue physics mpya na habari ambazo hazijajulikana bado.

Na kwa vile ambavyo vinaweza kwenda kwa speed of light, the universe has no time.

Everything happens at once, time stands still.

In theory, if you can pass the speed of light, you will start to move back in time.

But we have seen that, by the current physics, that is not possible.

One can slow down the passage of time significantly though.

Through time dilation, as one nears the speed of light.

Time dilation - Wikipedia
 
Mimi ilikua kidogo niamini...lakini nilipowaza kama nikirudi enzi za babu yangu then nikamuua itakuwaje?? Ntazaliwa??
Kuanzia hapo nikaanza kufwatilia na kusoma vitabu kwa kujifurahisha kama story za ma allien tu
What if nikikwambia hiyo ni mada inayowaumiza watu vichwa kila siku lakini INAWEZEKANA KURUDI TO THE PAST NA KUMUUA BABU YAKO NA WEWE UKAENDELEA KUEXIST!! kasome/google GRANDFATHER PARADOX.
 
Labda tugundue physics mpya na habari ambazo hazijajulikana bado.

Na kwa vile ambavyo vinaweza kwenda kwa speed of light, the universe has no time.
Kuna mtu anaitwa JOHN TITOR aliwahi jitokeza akasema yeye ni mwanajeshi toka mwaka 2036, na alitumwa na serikali ya wakati huo kwenda nyuma mpaka mwaka 1975 kuchukua aina fulani ya compyuta ambayo ufanyaji kazi wake ungewasaidia miaka yao (2036) kuweza shinda vita - anasema Marekani kipindi hicho ilikua inapigana vita vya wenyewe kwa wenyewe(civil war) hivyo alipitia mwaka 2000 kuchukua baadhi ya picha na vitu vya kumbukumbu ya familia yao vilivyopotea huko mbeleni.
Jamaa aliweza kuchora mchoro wa jeshi lao pamoja na kueleza ufanyaji kazi wa Time travel Machine aliotumia!. Kitu pekee hakuna aliyeweza muona kwa macho huyo jamaa maana alikua anapost mtandaoni kama hivi JF na baadae alipotea lakini kaachia wanasayansi maswali mengi sana!, kuna hadi taasisi zinaitwa jina lake zinafanya uchunguzi!.
 
Nasoma kitabu cha sayansi ya ubongo cha Sapolsky kinaitwa "Behave: The Biology of Humans at Our Best and Worst".

Moja ya mambo aliyosema ni kwamba watu wanapenda kupata confirmation ya kile wanachotaka kuamini.

Kwa hiyo, kama unataka kuamini time travel inawezekana, mtu akiunga unga stories tu, unakuwa rahisi sana kuiamini.

John Titor - Wikipedia

...Subsequent closer examination of Titor's assertions provoked widespread skepticism. Inconsistencies in his explanations, the uniform inaccuracy of his predictions, and a private investigator's findings all led to the general impression that the entire episode was an elaborate hoax. A 2009 investigation concluded that Titor was likely the creation of Larry Haber, a Florida entertainment lawyer, along with his brother John, a computer scientist.[4]
 
Kwa hiyo, kama unataka kuamini time travel inawezekana, mtu akiunga unga stories tu, unakuwa rahisi sana kuiamini.
John Titor alikua ni mfano lakini nilichotaka tudiscuss ni kwamba nazani yawezekana kuitembelea past yako bila kuiharibu present yako. Kwa kupitia baadhi ya maandiko kama
-Grandfather paradox
-Causal loop
-Schrödinger's cat
-Echeverria and Klinkhammer's solution
-Time loop
 
Mkuu nimejaribu kusoma hio grandfather paradox ingawa sijaielewa sana lkn inavyoelezea ni kwamba mtu akirudi kwenye past harudi kwenye past yake yaan anarudi kwenye parallel universe.
Ambapo akimiua babu yake anamuua babu yake wa kwenye paraller universe
 
Huyu jamaa ndie yule jesuits aliyetumwa na father Andrew White (rejea kwenye jina la White House) kuhakikisha mkataba wa American indepence unasainiwa alafu akatoweka
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…