HapanaAsante sana.
.
A human is a social being. Tunapenda kushirikiana na kuhusiana na binadamu wengine. Hii nitoka zamani sana na ilimuhakikishia binadamu uwezo wa kuishi muda mrefu na kumfariji pia.
.
.
Ndio maana moja ya adhabu kubwa binadamu alipewa na jamii yake ni kuwa exiled, kutengwa na jamii yake.
.
.
Binadamu wachache sana, ikiwemo wenye very high IQs kama Isaac Newton, hawaoni umuhimu wa kuwa na life partner na mara nyingi ni kwasababu jamii iliyowazunguka kushindwa kuwaelewa.
.
.
I'm that dumb girl so far, and I need a partner in crime.
I think I've answered your question.
no gray shades. Kwasababu ni vigezo vyangu.Hapana
Sio kwa nini unahitaji partner, swali ni kwa nini awe na hivyo vigezo vingi hivyo?
Thank you for honesty sis, i know majority could love to read sugarcoated lie, hypocrisy and pretense.
But you said things in black and white crystalsno gray shades.
All the best, hope you meet Mr. Right
Mkuu ameshasema yeye ni dumb girl usimuulize swali moja mara mbili, haelewi kazoea kwenda OPHapana
Sio kwa nini unahitaji partner, swali ni kwa nini awe na hivyo vigezo vingi hivyo?
Maisha ni tofauti na vile unavyofikiria hasa kwenye suala la mapenzi ndiyo maana hakuna mahakama ya mapenzi. Ukiona mtu anatafuta mapenzi mpaka anajitangaza kwenye mitandao huyo ameshindwa mapenzi sababu mapenzi hutokea yenyewe kwa mtoto wa kike sababu yeye ndiye anatafutwa na kutongozwa. Anachokifanya hapa anajipiga mnada na mwanamke mzuri hugombaniwa. Hapo alipo ni bikira? kama siyo bikira aliyemtoa yupo wapi?, aliyekutana naye baada ya bikira kutolewa yupo wapi? Hili la Kutolewa bikira, anaweza asione siyo issue lakini maanguko huanzia hapa kwasababu alipaswa mumeo wa ndoa ndiye angemtoa bikira. Mpaka kufika hapa ujue kwashindwa huko mtaani, na sasa amekuja kwenye ulimwengu wa KUBAHATISHA. Angekuwa hajashindwa angekuwa na mchumba tayari. Tatizo hawa dada zetu vigezo vingi kama tangazo la ajira. Kadri unavyozidi kulala na wanawaume wengi ndivyo na thamani yake inazidi kupungua. Anaweza kukutana naye lakini ukumbuke na yeye atakuwa na vigezo vyake. Je, na yeye atakuwa amekidhi vigezo vya huyu anayemtaka? mwisho wa siku kila mtu anashika 50 zake. MAPENZI YAACHE KAMA YALIVYO, UNAWEZA KUJIKUTA UNATAFUTA MTOTO ULEE MWENYEWEUsikate Tamaa... Hapa Duniani ni watu wa aina mbili tu ambao watakuambia "Huwezi".
1-Waliowahi kujaribu kisha wakashindwa !!
2-Wanaohofia ukijaribu utafanikiwa.
Hawa wa aina hii, ni vzur ukajifunza kwao matokeo ya kile unachokifanya !!...
Mie nmekubali unavyojiamini na kujikubali na unaonyesha unafanya matumizi sahihi ya ubongo wako na kwamba maisha yako ni binafsi na huruhusu mtu kuyaingilia, kimtizamo na kimaana!! ...na hii ndio tafasiri sahihi ya "Mwanadamu Huru"
Ni ktk 23 tu, lkn unamawazo makubwa ambayo yanakusaidia uitizame Dunia ktk nyanja tofauti na changamoto zake .... awali nalitegemea kwa umri wako utakua nalugha za matusi n.k !!!.
Lkn maajabu, unashuka na watu polepole ,huku ukiendelea kuwaonyesha sehemu ya Pili ya Dunia ilivo kwa 23 yrs ,
Sometimes it feels Great, Safe and Calm to love such a Decided Girl , Determined Woman and Practical Lady like you , You are so intelligent that means ,there must be a Good reason for you to defend your point of view !!
Nothing more, but I think you are Beautiful, sexiest, hottest and attractive by Nature!!!.
Mapenzi ni zaidi ya vile tunavyofikiria. Mapenzi yaachwe yaitwe mapenzi ndiyo maana hakuna mahakama ya mapenzi. Hata wanaojiita washauri wa mapenzi nao wanalia. Wanaojiita makungwi wa mapenzi utakuta nao wanalia na hawana waume.Utatafuta kama mimi ila hutofanikiwa, humu wapo sexmaniac tu ila si waoaji.
Maisha ni tofauti na vile unavyofikiria hasa kwenye suala la mapenzi ndiyo maana hakuna mahakama ya mapenzi. Ukiona mtu anatafuta mapenzi mpaka anajitangaza kwenye mitandao huyo ameshindwa mapenzi sababu mapenzi hutokea yenyewe kwa mtoto wa kike sababu yeye ndiye anatafutwa na kutongozwa. Anachokifanya hapa anajipiga mnada na mwanamke mzuri hugombaniwa. Hapo alipo ni bikira? kama siyo bikira aliyemtoa yupo wapi?, aliyekutana naye baada ya bikira kutolewa yupo wapi? Hili la Kutolewa bikira, anaweza asione siyo issue lakini maanguko huanzia hapa kwasababu alipaswa mumeo wa ndoa ndiye angemtoa bikira. Mpaka kufika hapa ujue kwashindwa huko mtaani, na sasa amekuja kwenye ulimwengu wa KUBAHATISHA. Angekuwa hajashindwa angekuwa na mchumba tayari. Tatizo hawa dada zetu vigezo vingi kama tangazo la ajira. Kadri unavyozidi kulala na wanawaume wengi ndivyo na thamani yake inazidi kupungua. Anaweza kukutana naye lakini ukumbuke na yeye atakuwa na vigezo vyake. Je, na yeye atakuwa amekidhi vigezo vya huyu anayemtaka? mwisho wa siku kila mtu anashika 50 zake. MAPENZI YAACHE KAMA YALIVYO, UNAWEZA KUJIKUTA UNATAFUTA MTOTO ULEE MWENYEWE
MAPENZI NI ZAIDI YA VILE UFIKIRIAVYO. UNATAKA HIKI KINAKUJA KILE AMBACHO HUKITAKI. KWENYE MAPENZI USITAFUTE MTU ALIYEKAMILIKA KAMA UNAVYOWAZA SABABU UNAWEZA UKAKUTA HAKIPO. UKIMPATA MTU ANAVIGEZO VIGEZO 2 KATI YA 10. BEBA HAYO MENGINE UTAYATENGENEZA BAADAE.


punguza hasira, ukijaribu kumpangia kila mtu maisha yake utaishia kufa na presha. Take a chill pill, lol.I understand.That post took a lot of preparation. Gotta give it to you. But one thing, if you are demanding all that, then you gotta have same qualities because no man with qualities that you want is gonna settle for less, you want a Well behaved man, you gotta be behaved, a Clean guy, you gotta be clean too,
You get my point?
KIZURI CHA JIUZA, KIBAYA CHA JITEMBEZA.punguza hasira, ukijaribu kumpangia kila mtu maisha yake utaishia kufa na presha. Take a chill pill, lol.
Sawa professor wa mapenzi.KIZURI CHA JIUZA, KIBAYA CHA JITEMBEZA.
You sound amazing but I'm not interested with black girl.
Huyu akifikisha 28 au 30yrs. Unagonga vizuri sana wala usiwaze maana wanakuwa wanastress sana kwasbb yakukosa watu wanaowataka na akiangalia umri unakwenda. 23yrs bado sana, bado binti mbichi na ni haki yake aringe.Aiseeeeeeee
Pole sana kama umri una determine standard zako. Cheap is cheap no matter what age.Huyu akifikisha 28 au 30yrs. Unagonga vizuri sana wala usiwaze maana wanakuwa wanastress sana kwasbb yakukosa watu wanaowataka na akiangalia umri unakwenda. 23yrs bado sana, bado binti mbichi na ni haki yake aringe.