A letter to my future lover

This brings me to another question, can the pyramids also be seen from space like what most people say?
 
This brings me to another question, can the pyramids also be seen from space like what most people say?
Poster will clarify these questions, she do likes these kind of conversations!
 
Unaona mitazamo yao hii?? Halafu eti ndiyo wanataka sisi tuwapende wao kama walivyo!!
 
Si ndiyo maana nasema ana matatizo huyo aisee
 
Si ndiyo maana nasema ana matatizo huyo aisee
Anataka tusisome ili waanze kutulinganisha na club za Barcelona
.
Kuna dada angu mmoja hivi...aliolewa na Huyo mbaba ..kuna siku alimwagiza kitu,bahati mbaya akasahau..
Alivyorudi wacha amtukane...anamwambia unadhani hizi kazi zetu nikama zako za kupika maandazi...Mimi nafanya kazi na sijasahau..wewe nakuagiza unasahau na upo tu nyumbani..ndio Maana shule ilikushinda.
 
Daah hayo maneno yameniuma utadhani nimetukanwa mimi
sipendi kuona mwanamke mwenzangu ananyanyaswa jamani, machozi yamenilenga.
 
Daah hayo maneno yameniuma utadhani nimetukanwa mimi
sipendi kuona mwanamke mwenzangu ananyanyaswa jamani, machozi yamenilenga.
Alinyanyasika yule dada.
Ilifika kipindi mumewe aliacha kula nyumbani...alipata michepuko...akahamisha nguo,anarudi siku akijisikia.
Akaacha kumuachia hela ya kula,imagine maisha ya dar
Akawa anaomba kwa majirani Chakula,wacha amtukane..umeanza kuhongwa.
Acha tu
 
Daah jamani, halafu haya mambo wanaume wanayatetea kabisa wanayaona ya kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…