A letter to my dear wife

Mkuu pambana tu ipo siku atalainika,

Kuna mshkaj wangu ashamfuatilia mdada miaka tisa,yaani huyoo dada aliolewa akaachika na watoto watatu,ndio akamkumbalia mshkaj!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 


Wewe Munchkin wewe!

We haya We...lol!
 

HAKUTAKI ANASHINDWA KUKWAMBIA, KUNA SIKU ITABIDI TU AKWAMBIA KWAMBA FUTURE WIFE WAKO NI MANKA SIO SHEILA
 
piga chini kwanini akusumbue kiasi hicho!
 
Ukiona hivyo nayeye ana husband to be mwingine humu sio ww
Huwa nakakumbuka kale kaujumbe ka kungekuwa na kauwezekano ka kumkimbiza umpendae sijui ingekuwaje tu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…