A letter to my dear wife

Chrismoris

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2017
Posts
14,381
Reaction score
18,166
Dear Wife to Be.

Ningekupost hapa lakini unajichelewesha mwenyewe, mimi niko tayari hata leo. Tatizo simu hutaki nikupigie, unaweka standard ambazo zimevuka mipaka. Sasa mimi nifanyeje.?

Text PM hutaki kujibu. Nifanyeje lakini wife to be ?
Mi pia nina moyo.

Nitakupost lini my wife to be?
 
Mwanamke akigoma kujibu pm zako tongozea hapa hapa jukwaani hata kamajukwaa la siasa.
nilifanya hivyo hapa hapa jukwaani sitakaji kujicheleweshaga mie nikakosa nafasi

Madame S halafu babe unajua nautafuta sana ule uzi lakin hata siupati
 
nilifanya hivyo hapa hapa jukwaani sitakaji kujicheleweshaga mie nikakosa nafasi

halafu babe unajua nautafuta sana ule uzi lakin hata siupati
Mwanangu nimeshakuwa baby wako tena?

Paw huyu mtu sio mzuri kiongozi mpumzishe jukwaani week mbili.
 
hahahahhahahaa sawa bwana
 
Kumbe huna hata namba yake simu? Huyu mwanamke MPE GuDume amshikishe adabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…