ruralofficer JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 2,499 Reaction score 3,636 Mar 18, 2018 #2 This is propaganda
Clarity JF-Expert Member Joined Jul 6, 2010 Posts 1,957 Reaction score 2,889 Mar 19, 2018 #3 Duh la Saba B,tumeachwa hapa
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 61,093 Reaction score 124,633 Mar 19, 2018 #4 Okechuku said: kaka sio propaganda,huu ni ukweli mchungu Click to expand... Ukweli gani mkuu ndoa ni kati ya mwanaume na mwanamke
Okechuku said: kaka sio propaganda,huu ni ukweli mchungu Click to expand... Ukweli gani mkuu ndoa ni kati ya mwanaume na mwanamke
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 61,093 Reaction score 124,633 Mar 19, 2018 #5 Okechuku said: ukweli kua hio barua si propaganda imeandikwa na a christian gay Click to expand... Ahaa okey.
Okechuku said: ukweli kua hio barua si propaganda imeandikwa na a christian gay Click to expand... Ahaa okey.
seyayi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2018 Posts 683 Reaction score 821 Mar 19, 2018 #6 Okechuku said: ukweli kua hio barua si propaganda imeandikwa na a christian gay Click to expand... Hayupo christian gay,ukishaacha misingi ya imani maana yake UMEMKANA KRISTO.huyo ni wa shetani tu.
Okechuku said: ukweli kua hio barua si propaganda imeandikwa na a christian gay Click to expand... Hayupo christian gay,ukishaacha misingi ya imani maana yake UMEMKANA KRISTO.huyo ni wa shetani tu.
seyayi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2018 Posts 683 Reaction score 821 Mar 19, 2018 #7 Hii barua ina pande mbili: 1.kuhalalisha ushoga watu waone hayo ni matokeo ya maisha tu na haina budi wayapokee 2.kulegalize ndoa za jinsia moja kwa kuisuta biblia. HUU NI UPUUZI MTUPU
Hii barua ina pande mbili: 1.kuhalalisha ushoga watu waone hayo ni matokeo ya maisha tu na haina budi wayapokee 2.kulegalize ndoa za jinsia moja kwa kuisuta biblia. HUU NI UPUUZI MTUPU
Central Zone JF-Expert Member Joined Aug 15, 2017 Posts 244 Reaction score 375 Mar 19, 2018 #8 hii barua ni yakichochezi halafu ni mahususi kwa timu pinzani. USHOGA