Alafu Masawe hakutumia microsoft word, ndio angejuwa kabisa kuwa hiyo program ni ya kibaguzi kabisa, Majina yote ya Kiafrika yanapigiwa mistari mwekundu chini... WHY!?
Ukiandika Mtoto, ukibonyeza space, inaandika Motto... WHY!?
Kwanini folder na file uwezi save kwa majina haya CON, PRN, AUX, NUL, LPT1-9, COM1-9 yaani mpaka utumie maujanja ujanja.