Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 59,020
- 103,415
Literally ni kwamba chama cha siasa Tanzania ni kimoja. Na ndicho kinachopaswa kutoa Rais wa kuongoza nchi. H
Kibaya zaidi kuna kikundi cha viongozi wastaafu wa serikali na vyombo vya dola kinaamua nani awe rais kisha huyo rais tunaambiwa ni kupitia chama fulani, huku wananchi wakipoteza muda wao kwenda kupanga mstari kwenye box la kura eti wanamchagua rais! Bila machafuko tutaendelea kubambikiziwa viongozi ambao hawatokani na box la kura.