Hivi vyama vya siasa ni hopeless. Mwenyekiti ana nguvu kuliko chama. Angalia Chura Kiziwi alivyokuwa akipiga chini watu wengine (wa chama chake) singlehandedly!Samia hajajiweka pale mwenyewe. Ni CCM ndiyo ya kulaumiwa. Kufanya shangingi la darasa la saba makamu wa rais na rais. Wengi tulikuwa tunajua uwezo wake. Nasikia huko ndani kuna mkanganyiko mkubwa na hakuna mtu mwenye control ya mambo .
Kwanza ni bora hii ngoma iende hata wiki maana ccm walikuwa wanadharau sana na kuona watu ni wajinga.Nadhani huyo mama mnamlaumu bure tu, no one ever expected an uprising by Tanzanians, this is a surprise an shocking for everyone, hata yeye hapo alipo atakua kachanganyikiwa, hajui amsklize nani.
I think afanye namna rais wetu Kibaki alivyofanya tulipokiwasha 2008, aliita viongozi wa upinzani wakakutana na kupiga picha ya pamoja na kuweka jopo la maridhiano lililobuniwa na viongozi kutoka pande zote.
Hii ni crisis that can not go away easily, needs wisdom, unawezakuta ikulu huko wanapishana kauli na kugombana wenyewe kila mtu ana suluhu lake, huyu anasema mlimwe marisasi huyu anasema muongee, yule anasema Lissue atolewe jela, yaani fulu tafrani.
Mama aamue kukaa na viongozi wa upinzani, ikiwezekana akae hadi na huyo Lisu ili taifa litawalike.
Tayari kuna power vacuum.Kabla ujautoa huo uongozi si unahitaji kutengeneza ‘power vacuum’ kwanza.
Sasa tena unataka Samia atoke aseme nini, ni sawa kumtaka aendelee na uongozi i.e usimamizi wa nchi.
Precisely, huyo mama aendelee kukaa kimya; that’s the ideal scenario.Tayari kuna power vacuum.
Maajabu haya, hivi mtu anaweza kusema Mama atoke atie uongozi, Uongozi gani huo ambao anao sasa hivi.Kabla ujautoa huo uongozi si unahitaji kutengeneza ‘power vacuum’ kwanza.
Sasa tena unataka Samia atoke aseme nini, ni sawa kumtaka aendelee na uongozi i.e usimamizi wa nchi.
Hakuna uongozi pale, afadhali hata huyo Mchengerwa ni mkwe wa sasa.Maajabu haya, hivi mtu anaweza kusema Mama atoke atie uongozi, Uongozi gani huo ambao anao sasa hivi.
Hivi watu wakae kabisa wanamsiliza nini anazungumza, azungumze nini ambacho sisi hatujawahi kusikia anazungumza.
Kwanini Watanzania tupo hivi yarabi, badala ya kusema huyu mtu asionekane tena, wanataka atoke azungumze ! Kama nani.
Tukubali tu kuwa siku aliyotoka anapiga kura , ndio uwe mwisho wake kuonekana kwenye Macho ya watanzania,
Tumemvumilia sana na kejeli zake, maana uongozi aliokuwa anaufahamu yeye , ni kwenda kinyume na mtangulizi wake kwa kila jambo,
Mtangulizi akisema hakuna kuchezes mali ya umma, yeye anawaambia wale,
Wananchi wakijitokeza kutoa shida zao , yeye anasema wakamatwe,
Mtangulizi akisema bandali tumeoigwa , yeye anaitoa,
Yaani typical Mwanamke wake kwa Kiswahili,
Sasa hapa tulipofikia ktk hali hii, ndio unaona kabisa hatujuwa na uongozi, uongozi uliokuwapo ni wa upigaji tu,
Hivi unawezaje kumpa cheo mkwe kama Mchengerwa, tena cheo kinachohusika na mambo ya uchaguzi, hapo unakuwa unatuma ujumbe gani kwa Watanzania, hayo ndio yalikuwa maandalizi ya kuiba na kupika matokeo, kitu kidogo kama hicho , kilimshinda kuwaza, au nddio ubabe wenyewe, kwamba watanifanya nini.
Ni vilaza kama wewe, ambao hamkuliona hili.Nadhani huyo mama mnamlaumu bure tu, no one ever expected an uprising by Tanzanians, this is a surprise an shocking for everyone, hata yeye hapo alipo atakua kachanganyikiwa, hajui amsklize nani.
I think afanye namna rais wetu Kibaki alivyofanya tulipokiwasha 2008, aliita viongozi wa upinzani wakakutana na kupiga picha ya pamoja na kuweka jopo la maridhiano lililobuniwa na viongozi kutoka pande zote.
Hii ni crisis that can not go away easily, needs wisdom, unawezakuta ikulu huko wanapishana kauli na kugombana wenyewe kila mtu ana suluhu lake, huyu anasema mlimwe marisasi huyu anasema muongee, yule anasema Lissue atolewe jela, yaani fulu tafrani.
Mama aamue kukaa na viongozi wa upinzani, ikiwezekana akae hadi na huyo Lisu ili taifa litawalike.
Inabiki kuwe na chaos ya kufanya nchi isitawalike au wananchi waikamate ikulu ndipo wao wapate uhalali wa kuingilia. Jeshi likiikamata ikulu, kabla ya wananchi hayo yatakuwa ni mapinduzi ya kijeshi. Jeshi letu linanidhamu, halitaki kuleta "presedence" hiyo.Mimi nina swali, mwenye kulifahamu anieleweshe tafadhali maana mimi ni mgeni huku siasani.
Nauliza, ili jeshi lianze rasmi kuendesha nchi ni hadi nini kitokee?
Inabiki kuwe na chaos ya kufanya nchi isitawalike au wananchi waikamate ikulu ndipo wao wapate uhalali wa kuingilia. Jeshi likiikamata ikulu, kabla ya wananchi hayo yatakuwa ni mapinduzi ya kijeshi. Jeshi letu linanidhamu, halitaki kuleta "presedence" hiyo.
Na wananchi hii chance tunaichezea, sisi hivi utasikia CCM, bado ipo inatoa maagizo, tuliletwa hapa picha inaonesha ndege yetu inaenda Dubai, hatukutaka hata kujishughukisha, kujua inaenda kufanya nini na nani yumo, KIMYA, hata hatujaliInabiki kuwe na chaos ya kufanya nchi isitawalike au wananchi waikamate ikulu ndipo wao wapate uhalali wa kuingilia. Jeshi likiikamata ikulu, kabla ya wananchi hayo yatakuwa ni mapinduzi ya kijeshi. Jeshi letu linanidhamu, halitaki kuleta "presedence" hiyo.
Jeshi litaendesha nchi pale tu kutapotokea serikali ya kiraia imeshindwa kudhibiti hali ya utulivu na raia kufuata sheria.Mimi nina swali, mwenye kulifahamu anieleweshe tafadhali maana mimi ni mgeni huku siasani.
Nauliza, ili jeshi lianze rasmi kuendesha nchi ni hadi nini kitokee?