Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,106
- 136,785
Mods niacheni niteme nyongo dhidi ya huyu mtu….
Wewe Samia hufai kabisa na hizi siku tatu za machafuko ndo zimethibitisha hilo.
Kikatiba kwa sasa wewe ndiye kiongozi wa nchi lakini kiuhalisia wewe ni li sanamu tu lisilo na chochote cha maana ndani yake.
Siku ya tatu nchi inaungua na watu wanapoteza maisha lakini wewe kwa upumbavu wako hujasema wala kufanya chochote kujaribu kuituliza hali.
Ghafla umekuwa bubu, kiziwi, na kipofu.
Hovyo kabisa wewe mtu na you will never ever again be comfortable in this country.
Jana umemtuma huyo kibaraka wako Mkunda. Per usual, naye hana la maana la kusema. Ni pumba tu.
Na nyie CCM wote mafala tu. Nyie ndo sababu ya yote haya.
Mko kimya as if nothing is happening.
Go kick rocks with no shoes on. Stupid disrespectful bastards.
Rais, kimya!
Makamu wa Rais, kimya!
Waziri mkuu, kimya!
Naibu waziri mkuu, kimya!
Na hapo mnalipwa mishahara kwa kutumia kodi za hawa hawa wananchi maskini ambao hawawataki tena.
Samia kashindwa kabisa kuonyesha uongozi. Hata kujifanya tu kuwa anajali, nako kashindwa.
This a very grave dereliction of duty.
Go to hell and burn forever.