A Girl Who Can't Wear Shoes

A Girl Who Can't Wear Shoes

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
blogger-image--1172219617.jpg





blogger-image--1246279554.jpg

As she moved slowly down the street, holding on tightly to her grandmother's hand it is clear to see that Yu Yu is having difficulty walking.
The three-year-old suffers from an undiagnosed condition which causes her feet to grow at an alarmingly rapid rate.
They are constantly swollen and heavy and make moving around for the child, who lives in Xi'an, Shaanxi Province of China, extremely difficult.
 
Inasikitisha lakini kazi ya Mungu haina makosa. Pengine Mungu ana makusudi yake, wangapi wamepewa miguu mizuri ya bia, wakavimba vichwa matokeo yake wakahadaika na dunia na hiyohiyo ikawaingiza kaburini.
 
maskini..so saad!!

jamani kuvaa viatu ni raha..and loving shoes is just the greatest love of all!it never dissappoints.seeing someone who is missing out on such an experience is heartbreaking!
 
Inasikitisha lakini kazi ya Mungu haina makosa. Pengine Mungu ana makusudi yake, wangapi wamepewa miguu mizuri ya bia, wakavimba vichwa matokeo yake wakahadaika na dunia na hiyohiyo ikawaingiza kaburini.

ni kazi ngumu sana kujua kusudi la mungu maishani mwetu na kukubali kwamba he has a plan for us. especially when things are not looking so good for us..
 
Achongewe special shoes. JF Orthopedists Mko wapi? Any intervention to help?
 
Ni kweli kazi ya Mungu haina makosa LAKINI nadhani kuna mambo kama tungejua undani wake labda tungeacha kuamsingizia Mungu. Inawezekana kabisa ikawa kazi ya ibilisi! Maana Mungu hapendi viumbe vyake viteseka but the devils would be happy to see human suffering!
Inasikitisha lakini kazi ya Mungu haina makosa. Pengine Mungu ana makusudi yake, wangapi wamepewa miguu mizuri ya bia, wakavimba vichwa matokeo yake wakahadaika na dunia na hiyohiyo ikawaingiza kaburini.
 
Ni kweli kazi ya Mungu haina makosa LAKINI nadhani kuna mambo kama tungejua undani wake labda tungeacha kuamsingizia Mungu. Inawezekana kabisa ikawa kazi ya ibilisi! Maana Mungu hapendi viumbe vyake viteseka but the devils would be happy to see human suffering!
Mheshimiwa naunga mkono hoja.
 
Back
Top Bottom