A free school under a bridge in New Delhi, India

A free school under a bridge in New Delhi, India

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,955
Shule za Bongo na India kumbe zinafanana kweli Kasheshe kweli............

380796_10151135685165658_103461090_n.jpg
 
viserera vya walimu au wanafunzi?
bibie ummu kulthum Hujambo lakini? Shule za kibongo si wanasoma kwenye chini ya mti? na hapo si wanasoma chini ya Daraja kuna Tofauti gani hapo kati ya chini ya Mti na Daraja? singida hakuna shule mnazosoma chini ya mti bibie ummu kulthum?
 
Last edited by a moderator:
Hapo ni Bora Utirio Uzame, badae watatisha sana hao kwani wanasoma kwa USONGO
 
Picha kama hizi seriously zinanitoa machozi. Politicians should be.hanged! Hapo waziri wa elimu anazurura na madarasa 200 in the name of.transport. Babylons system is a vampire (source:bob marley)
 
penye pana nia, no wonder tunaenda kufanyiwa operation za moyo india.
 
bibie ummu kulthum Hujambo lakini? Shule za kibongo si wanasoma kwenye chini ya mti? na hapo si wanasoma chini ya Daraja kuna Tofauti gani hapo kati ya chini ya Mti na Daraja? singida hakuna shule mnazosoma chini ya mti bibie ummu kulthum?

zipo nyingi sana huku kwetu na mchumi wa daraja la kwanza MWINGULU NCHEMBA,DIANA CHILOLO na wengineo japo elimu zao za kuungaunga ndipo walipotokea kikubwa ni elimu unayoipata refer IQRA
 
zipo nyingi sana huku kwetu na mchumi wa daraja la kwanza MWINGULU NCHEMBA,DIANA CHILOLO na wengineo japo elimu zao za kuungaunga ndipo walipotokea kikubwa ni elimu unayoipata refer IQRA
bibie ummu kulthum Basi ni Kasheshe kweli elimu kuipata chini ya Mti ahhh ndio bongo yetu wakubwa ndio wanaofaidi masikini ndio wanaoteseka Mwenyeezi Mungu atatusaidia inshallah.

Usalama upo hapo kweli Wakuu?
Mkuu 'The Choosen' unauliza jibu wewe?Usalama upo kwanini usikuwepo huo Usalama?
 
Last edited by a moderator:
bibie ummu kulthum Basi ni Kasheshe kweli elimu kuipata chini ya Mti ahhh ndio bongo yetu wakubwa ndio wanaofaidi masikini ndio wanaoteseka Mwenyeezi Mungu atatusaidia inshallAH

kama mweyeezi Mungu amekuandaa uwe mtu fulan katika jamii utafika japo binadam watakuchelewasha n usipoipata duniani akhera utaipata.
 
Back
Top Bottom