A free HIV/AIDS generation ... begins with you

Mkuu Junior. Cux shukran sana kwa mada hii naamini itatukumbusha wengi wajibu wetu na namna ya kujali afya zetu...ila the best option ni kumpata aliye mwaminifu na kumuoa au kuolewa naye.

Hatahivyo nina swali,hivi Condom inazuia ukimwi kweli kwa 100%?
 
Last edited by a moderator:

Tatizo waaminifu ndo wanaenda wanapungua, kumpata siku hizi huyo ineza kuchukua muda wako wote..

Tafiti zinasema condoms zikitumiwa kwa ufasaha zinaweza kuepusha maambukizi kwa zaidi ya asilimia 95...
 
Last edited by a moderator:
Kula maraha usiogope unatibika.ukikwaa muone mzizi mkavu.
 
Itakuwa ni uzembe sana kama ukijikinga na ukimwi kwa nguvu zote lakini ukaja kuja kwa kipindupindu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…