A failed assassination plot against Dr. Ulimboka...

Nategemea mda si mrefu taarifa itatoka ikulu kuelezea kwamba wasihusishwe na unyama uliotokea...

Gazeti la uhuru la kesho litakua na kichwa cha habari kifuatacho.
"WANANCHI WANA HASIRA KWA KUFIWA NA NDUGU ZAO NA KUAMUA KUFANYA REVENGE"
 
Kama huamini kuna serikali na uwe wa kwanza kuingia barabarani wengine tutajifunza kutoka kwako

wale w amisri,Tunisia nk walikua hawana serikali au...by the way who the hell is serikali..if i closed my damn ass and vote for whoever the devil in this country i shall fear nothing under this ****ed up Tanzanian government...go n tell the Great Weakest JK
 
kwelio, ninewaza sana kuhusu habari Kama hii, mgonjwa wangu anifie huku doctor anaangalia....!!, lazima nitoke nae, Mabwepandee. Si waache kazi kabisa tujue moja. Kesho kutwa watakwenda dirishani kuchukua hivyo visenti vyetu sio!. Itafutwe njia mbadala. Na sio wananchi tuelendee kufa kwa mgomo wao.
 
Roho yangu imeumia sana sana sana naona hii si mahali salama tena pa kuishi
 
nawasiliana na washauri wangu kuangalia uwezekano wa kuanza kukwepa kodi mbalimbali ninazolipa serikalini maana sioni umuhimu wa kodi yangu kulipia wanajiita" maafisa wa serikali wa usalama", siko tayari kuona kodi yangu inatumika kutesa raia wema kama dr ulimboka!!!!
 
Kwanza: Pole sana Dr Ulimbka, ni ktk harakati za kulikomboa Taifa lako.
Pili ndo muamini kuwa Tz hatuna usalama wa taifa kwa sasa, kama wanaweza kutumwa kuua mtuhumiwa na wakaenda kwa nia ya dhati kabisa ili waue then wanashindwa, hii ni hatari.
Tatu: serikali ibadili utaratibu wa ukamataji watuhumiwa wake kwani si salama kwani inaghadhabisha na si ya kuvumilika kwani kizazi hiki siyo cha miaka ile.
Nne : pole sana Dr Uli naamini tuko nyuma yako
 
Mi nilijua hawa wazee wanabusara na vipara vyao kumbe ni makovu vichwani mwao...😡
 

Una point sana..ila jaribu kurudi darasani basi ili hata kiswahili uweze kukimudu ndugu yangu!
 
A nation that's afraid to let its people judge the truth and falsehood in open market is a nation that's afraid of its people
 
Kwanza: Pole sana Dr Ulimbka, ni ktk harakati za kulikomboa Taifa lako.
Pili ndo muamini kuwa Tz hatuna usalama wa taifa kwa sasa, kama wanaweza kutumwa kuua mtuhumiwa na wakaenda kwa nia ya dhati kabisa ili waue then wanashindwa, hii ni hatari.
Tatu: serikali ibadili utaratibu wa ukamataji watuhumiwa wake kwani si salama kwani inaghadhabisha na si ya kuvumilika kwani kizazi hiki siyo cha miaka ile.
Nne : pole sana Dr Uli naamini tuko nyuma yako
 
pole sana kamanda damu yakop itakuwa mwanzo wa vuguvugu la kuwatia adabu watawala
 
Tunisia walimng'oa ben Ali kwa chanzo hiki:baada ya kijana mhitimu wa chuo kikuu kukosa ajira akaamua kufungua genge nalo likachomwa akaacha ujumbe na kujitupa kwenye moto,mabadiliko yakaanzia hapo sie tunasubiri nini, maandamano nchi nzima kupinga serikali dhalimu ya CCM
 
Mkuu mbona unatoa stori kama vile ulikuwepo na ulikuwa unashuhudia kila kitu tangu jamaa anatekwa, mpaka anatupwa Mabwepande. Aina ya vipigo vyote ulishuhudia. Je, kwa nini hukutoa taarifa mapema wakati uleule ili juhudi za uokovu zifanyike? Kumbe ulikuwa unajua mtu katupwa Mabwepande. Kwa nini hukumuokoa mapema mpaka ukasubiri wanakijiji wauokoe?
 
Midomo ya watanzania iliyofungwa kwa kipindi kirefu hatimaye itaanza kufunguka. Naanza kuogopa kwakuwa tunatafuta amani kinguvu,leo hii Tanzania kupata haki yako ni mpaka damu imwagike. MUNGU mbariki Dr.Ulimboka apate afya tena ili atusaidie kupata majibu muhimu na sahihi.
 
Na bado watafuataia na wengine hakuna mtu atakaye ishinda serikali mkono wake ni mrefuuu wewe hapo hata ukikimbilia chooni kwenye nnya(headhunt movie) tunakupata tuu!
 
nategemea mda si mrefu taarifa itatoka ikulu kuelezea kwamba wasihusishwe na unyama uliotokea...

Gazeti la uhuru la kesho litakua na kichwa cha habari kifuatacho.
"wananchi wana hasira kwa kufiwa na ndugu zao na kuamua kufanya revenge"
wafanye revenge kwa kujengewa zahanati zisizo na hata dawa za maumivi, ingeleta maana !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…