Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,661
- 698,507
- Thread starter
- #561
Huku mjini sio maji tu kila kitu kiko contaminated, hata ukiamua uchemche mchicha wako na bamia chukuchuku bado hizo mboga mboga nazo huko zilikooteshwa na kukuzwa ni sumu tupuNinakua kama nimerudi Bustani ya Eden, na nilivyofast learner lazma nibadilike, yaani kama ndani ya wiki napata matokeo chanya mbona nazidi kutamani kwenda!!
ila kwa mjini ni ngumu kuyakwepa maji yenye fluoride ujue, labda kama kuna vyanzo vingine ukitoa ya kisima!
Nilibaki na mshangao mkubwa nilipoweka mada ya kuhusu mboga mboga za Dar zilivyo hatari kutokana na maji yanayotumika kuzikuza kuna watu wakanipinga mno