A day in the Buddhist college

Kumbe elimu na naarifa yote umeyapata pale. Nasikia hawaamini uwepo wa Mungu. Mungu wanamuumbia kwenye akili zao. Mshana wewe ni kiboko, ULIWEZA?? Basi hapa duniani hakuna maisha yanayokushinda. Mimi ningekaa siku moja tu na kufukuzwa.
Yalikuwa ni maisha magumu sana lakini ambayo unapata vitu vya msingi bure tena vya first class!
Ugumu wake ulikuwa kwenye ku train mind irudi kwenye asili na kuondoa takataka zote za kidunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…