Bondemania
Senior Member
- Jan 12, 2012
- 103
- 39
Je waweza kunuia mambo mazuri kwa kutumia hicho kiappo cha damu,say nataka kuweka agano na Mungu Mkuu Jesus Christ kuhusu wealth,health etc?Ni kiapo chochote cha kunuizia kwa kutumia damu mbichi ya mnyama au binadamu
Unapoimwaga kuinywa au kujipakaza au kuipakaza mahali kwa namna yeyote ile huku ukinuizia hiki ndio kiapo cha damu
Zamani ilikuwa kuna kula yamini kati ya wapenzi ndugu au marafiki yani mnajikata vidole vyenu kidogo kisha mnavigandamiziana, kutengeneza unganiko la milele... Hiki ni kiapo cha damu pia
Kuna wengine hujikata na kuitumia damu kama wino na kuandika mambo mabaya kisha kuiweka ile karatasi kwenye Maji na kuyanywa, wengine huyamwaga au kuyapeleka mtoni
Duh sema pesa nayo inamvuto wakeYuko vizuri sana ila kipengele cha mali kimemshika pabaya
Jr[emoji769]
Hapana hatutumiii tena kiapo cha damu sisi wa Kristo kwakuwa tayari alishamwaga damu yake ya thamani pale CalvaryJe waweza kunuia mambo mazuri kwa kutumia hicho kiappo cha damu,say nataka kuweka agano na Mungu Mkuu Jesus Christ kuhusu wealth,health etc?
HapanaWanatoa na kozi za uganga wa Kienyeji? Maana una deal sana kuanzia South mpak Bongo
Sent using Jamii Forums mobile app
I understand,Je wawezaje kujiunganisha na hiyo damu ya Kristo iliyomwagika Calvary na ukawa na uhakika bayana kabisa kuwa what I want is what gonna happen through hiyo damu?labda healing,spiritual uplifting, etc,sorry kama ntakuwa nakutoa nje ya mada but I am curious to know,na hakuna kitu kizuri kama proper infoHapana hatutumiii tena kiapo cha damu sisi wa Kristo kwakuwa tayari alishamwaga damu yake ya thamani pale Calvary
Jr[emoji769]
Ni kwa imani thabiti juu ya mambo ya kiroho na yale tunayodhani hayawezekaniI understand,Je wawezaje kujiunganisha na hiyo damu ya Kristo iliyomwagika Calvary na ukawa na uhakika bayana kabisa kuwa what I want is what gonna happen through hiyo damu?labda healing,spiritual uplifting, etc,sorry kama ntakuwa nakutoa nje ya mada but I am curious to know,na hakuna kitu kizuri kama proper info
So there is no a sure short using hii energy,kwamba hata mafanikio sio uhakika si ndio?halafu wale wanaosema they can read mind,are they capable Ku guess right kwenye machine kama ya loto?Naweza kusema ndio au hapana.... Kwakuwa yale mambo ni bahati nasibu
Jr[emoji769]
Kuna watu wana huo uwezo kabisa! Na kuhusu hili unajua mustakabali wa mtu(fate) anao mwenyewe...! Furaha yako, kushindwa kwako kushinda kwako nk nk... Hivi vingine ni visindikizi tuuSo there is no a sure short using hii energy,kwamba hata mafanikio sio uhakika si ndio?halafu wale wanaosema they can read mind,are they capable Ku guess right kwenye machine kama ya loto?