Hivi mwafrika anaweza kuwa budhist?
Inavutia
Lengo lako lilikuwa nini? Na hao watz wote mlikutana huko huko ama kulikuwa na mradi flani? Ni kozi ya muda gani?
Mlikaa kwa muda gani?
Gharama kiasi gani?
Nitampeleka mwanangu huko.Single usiye na majukumu ya wazazi wala familia, usitumie kilevi chochote, elimu minimum formfour minmum dv 3