A Coward American Soldier

A Coward American Soldier

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
Ni uoga, uchovu....ama?
3.jpg
1.jpg
 
Hii itakuwa afghanstan, yani hapo ukitoa kichwa dirishani kijingajinga unaweza kula risasi za kutosha ikabaki kiwiliwili
 
Coward or smart move, somebody else is checking on the oorigins of the fire!
 
Hero and coward feel just the same. Only what they do,make them different
 
old millitary tactics... Sku izi mzee wakikuona unaangalia hivo wanajua kuna wenzako kibao eneo ilo... Inatumwa rocket blaster hapo... Hata kucha atutapata kabisa ya kurudisha home...!!!!
 
Hakuna mtu anapenda kufa aise. Ni hawa polisi wetu wanaua tu wakati hata wao hawataki kufa. Tanzania inatia aibu mno.
 
Hiyo ni mbinu snipers wanatumia kuweza kung'amua adui alipo...
 
One man's cowardice is another's innovation.
 
Hiyo ni mbinu snipers wanatumia kuweza kung'amua adui alipo...
Safi sana mkuu!
tuliopitia medani za kivita unaambiwa never expose your position.
Hapa jamaa ana mkaribisha adui ku expose his/her position ili wenzake wammalize.
 
kurudi nyuma cyo ishara ya uoga bali ni kujipanga mkuu hayo ndyo mambo ukiwa ktk medani za kivita
 
Kwa shujaa huenda kilio Boflo. Ukinyanyua kichwa halafu ukakutana na live bullet inakuwaje?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom