A country where English language is compulsory but agriculture is optional

English au language yeyote ni tool ya kuweza kukufanya u-exist kwenye hii dunia

Maarifa,biashara,uhusiano unafanikiwa au kuwezekana kupitia lugha kama tool

Maarifa yote makubwa na ya maana duniani yapo natively kwenye english,hivyo english ni nyenzo muhimu kuijua kwanza then uitumie kupata maarifa,biashara,uhusiano nakadhalika..

Kama unaona English au lugha yeyote ni kama kupoteza muda ni sawa,soma kwa lugha yako ya asili maarifa yaliyogunduliwa na hao wa lugha yako,ila unapotaka maarifa ya nje,hutaweza

Na jamii yetu ya kiswahili imegundua maarifa gani ya karne hii ya 21?HAKUNA
 
Sasa imelisaidiaje taifa hiyo English nyoofu.

Binafsi naona kilimo kingekua lazima ingefaa zaidi.
 
Kweli.

Nimeanza kuona faida kubwa ya elimu ya kibongo ni kujua hicho kiingereza.... kinakusaidia kujua mambo mengi sana

Hata hizo mbinu za kisasa za kilimo, utazisoma kwa kiingereza, na kuna vitu vingi kwenye kilimo havifundishi bongo, itabidi uvijulie mtandaoni, huko utakutana na kiingereza
 
Sasa imelisaidiaje taifa hiyo English nyoofu.

Binafsi naona kilimo kingekua lazima ingefaa zaidi.
Mkuu

Maarifa yote tuliyonayo mashuleni na vyuoni yote tume import kutoka Western super countries

Maana sisi kama Waswahili hatuna maarifa yetu tuliyovumbua

Ni lazima tutumie nyenzo ya Kingereza/English ili tuweze kuyaelewa haya maarifa ya mzungu yatusaidie karne hii ya 21.

Sisi kama Waswahili hatuna maarifa,yote tume import,kuanzi la Kwanza mpaka PHD!

Maarifa ni sahihi zaidi kama yapo kwenye lugha yake original ambayo ni English,ukitafsiri tu maarifa yanaanza kupotea!

Chagua kimoja,upate maarifa ya ubabaifu au usome kwa lugha yao original ya mvumbuzi ambae ni mzungu?
 
Siamini kwenye hilo mkuu, hiyo lugha imesaidiaje kutatua matatizo yetu nchini??

Na ujue sio vumbuzi zote zimefanywa na waongea kingereza mzebaba hata hao wachapa ngeli wametafsiri mambo chungu nzima.
 
Elimu unayosoma kuanzia la Kwanza mpaka Chuo Kikuu imetoka wapi mkuu?

Au tunapozungumzia MAARIFA wewe unadhani tunaongelea nini?

Ngoja nikutajie uone:

1)Udaktari: Medicine,pharmacy,psychology,etc...huu ni utabibu wa civilization ya Watanzania,elimu hii imetoka kwa Wazungumza Kingereza na inafundishwa kwa Kingereza huwezi fundisha kwa Kiswahili hutapata "udaktari" watu watibiwe wapone

2)Engineering : ujenzi wa majengo hasa majengo serious,madaraja,mawasiliano,mitambo,viwanda,etc ni maarifa yaliyotoka kwa wzungumza kingereza.Na ni lazima ifundishwe kwa Kingereza upate engineers walioelewa mvumbuzi wa maarifa hayo ana maanisha nini

3)Law : Tumepokea mfumo wa English law,commonwealth law system,Kiswahili ndio hakitakiwi kabisa,hukumu zote zinaandikwa kwa Kingereza ukiandika kwa Kiswahili maana zinapotea.Ukisema "watu" kwa KIngereza ukaweka "people" umefeli haina maana hiyo

4)etc

Haya maarifa ni very fundamental ndio yanayoendesha civilization tuliyopo na yanatoka kwa wanaozungumza Kingereza na ili usipoteze maana kwa iterations ni lazima yafundishwe kwa Kingereza

Kama unataka gundua maarifa yako mwenyewe ufundishe kwa lugha yako mwenyewe

Utataja China and blah blah.....elimu za chini huku unaweza fundisha kwa Kishwahili au kichina maana ni concept laini laini na tafsiri zake ni straight forward ila level za PHD ni lazima utakumbana na Kingereza na hii ipo mpaka China kwenyewe!
 
Hizo zote sio zipo kwa lugha ya kingereza pekee ila nchi imechagua kutumia kingereza.

Warusi, wachina, wafaransa nk wanasoma kingereza kama sisi, achana na hizo nchi za za Afrika zinazotumia kifaransa kama sisi tutumiavyo ngeli nao wanasoma English kama sisi.

Na hapa tunachoongelea ni English kua somo la lazima na kilimo kisiwepo wakati hata kilimo pia kingeweza kua somo la lazima kama Kingereza.
 
English ni somo la LAZIMA,bila English duniani utawasiliana na nani kwa usahihi?

Mikataba yote duniani ni English

Hukumu zinafanyika kwa English

Business zinafanyika kwa English

etc

Sasa bila English utawasilianaje na DUNIA?

Hebu nieleze hilo tu
 
Dunia nzima inazungumza kingereza??
Kama huwa unaangalia BBC, Aljazera, DW na nyinginezo kama hizo umewahi kumsikia Putin akiongea kingereza? Hawasiliani na dunia?

Kwa Putin mbali, juzi tu hapo Niger yalipotokea mapinduzi, yule dogo alikua anaingea kingereza??

Enewei hoja kuu sio kukifuta kingereza mashuleni ila pia kuweka kilimo kiwe somo la lazima coz kwa maoni yangu ni muhimu kuliko hicho kingereza.
 
Mkuu Putin can afford not to speak English,his nation moves global powers any time they want.

Haya wewe bwana Abdallah unataka kuongea na Putin,hivi utaongea nae kwa Kiswahili?

Ni lazima utumie KIngereza na Putin atafsiriwe au aelewe maana I have seen Putin use English.

Poor nations zote hazina global gravitas to move power poles,lugha yako inakua irrelevant,inatakiwa utumie lugha ya Powerful.

Wewe sio powerful,Kiswahili is irrelevant hapa!
 
Kiswahili kimetoka wapi hapa mkuu.
Ni kilimo mashuleni Vs kingereza.
 
Back
Top Bottom