I see there is a serious problem somewhere. Nyakati za nyuma, wananchi walijali kidogo kuhusu katiba ya nchi. Enzi za chama kimoja, kulikuwepo na wale kina Njelu Kasaka. Walisimamia katiba and they were proud of it. Kuna namna viongozi wetu wanacheza na akili za watanzania. As if baada ya multiparty system, hakuna tena katiba ya kuongoza nchi. Hili ni tatizo kubwa, hakuna uzalendo. Na uzalendo unajengwa na katiba bora mtu asikudanganye.
Kwasasa nchi ni kama inaongozwa na waswaga ng'ombe na ng'ombe ndo wananchi! Sijawahi kusikia wananchi wakiwa proud kuhusiana na katiba yao ambayo imebeba haki zao zinazovunjwa kila kukicha.
Nadhani pia issue ya katiba ni muhimu sana na ninashangazwa na upinzani...Hivi kwa nini huu ubaguzi unaendelea na sisi kama Taifa tumekaa kimya? Ilianza kupigwa marufuku mbunge wa jimbo moja kuongea na watanzania wa jimbo lingine. Sasa imekuja ya kupiga marufuku kupeleka maendeleo kwenye jimbo la chama tofauti na chama cha kiongozi wetu wote.
Kwa katiba ya sasa kuna hatari ya kuongozwa na rais kichaa akawa anatoa matamshi na maamuzi ya ukichaa kichaaI don't even know where to begin.
Rais tuliyenaye ni janga haeleweki. Na mambo anayofanya, mengi yanavunja katiba ambayo aliapa kuilinda na kuitetea kwa nguvu zake zote!
Kwanza katiba inakataa ubaguzi wa kila aina.
Kwa mujibu wa katiba yetu, ibara inayoelezea kuhusu haki za binadamu, pia inaelezea kuhusu kupinga ubaguzi.
Tafsiri iliyotolewa kwenye katiba kuhusu ubaguzi...
""Kubagua" kama katiba ilivyoainisha, maana yake ni kutizama utashi, haki au mahitaji mengineyo kwa watu mbalimbali kwa kuzingatia maoni yao ya kisiasa, kabila, dini, hali yao katika jamii nk. Kwa namna ambayo watu wa aina flani, wanafanywa au kuhesabiwa kuwa dhaifu au duni, na kuwekewa vikwazo au masharti ya vipingamizi ambapo watu wa aina nyingine wanatendewa tofauti, au wanapewa fursa, au faida iliyo nje ya masharti au sifa za lazima"
Ni wazi rais anafahamu fika anachofanya kuwa ni ubaguzi. Ameamuwa tu kutokujali. Pengine madaraka makubwa yamemfanya kuwa more arrogant. Obama alisema juzi kati hapa kuwa hata yeye aliona ni kwa jinsi gani madaraka yalivyo hatari. Na kutegemea na akili ya mtu, wengi hulewa madaraka na kufanya wanachotaka na kuwa bullies!
Mambo kadhaa yaliyonifanya nikaamini kuwa rahisi jiwe anafanya makusudi kabisa na kuharibu taifa letu. Mfano aliwahi kutoa ahadi kuwa atapeleka maendeleo bila kujali sehemu hiyo wamechaguwa mtu mwenye mrengo gani wa kisiasa ama chama gani...Lakini pia matendo yake ni tofauti na wateule wake wanamsaidia kufikisha ujumbe wa kibaguzi kuwa wananchi wasipochagua watu wa ccm hawataepelekewa shghuli za kimaendeleo. Imesababisha hata viongozi wengine(mbali na kuhongwa), wakahamia kule kwenye more priveledges. Ni Imani yangu kuwa mwananchi yoyote yule anastahili kulindwa na katiba kwa mujibu wa katiba hiyo!
Ni wazi kabisa kuwa katiba inakataza ubaguzi hata wa kisiasa, lakini tunasikia kuwa wananchi wakiambiwa kuwa hawatapelekewa maendeleo kwasababu ya misimamo yao ya kisiasa. Huo ni ubaguzi. Katiba haiheshimiwi na ndiyo maana hakuna mwenye kupiga kelele. Wote wanamsikiliza jiwe tu. Utawala wa kisheria umewekwa kapuni.
Kama rahisi hayuko confused, kwanini atoe kauli kanganyifu? Pia matendo na meneno yake mengi yanaonyesha ubaguzi wa wazi kabisa.
Mtu mwenye busara akipata urais, hawezi kuongoza nchi kwa style kama hii! Wananchi wamefikia mahali ambapo wanachukiana wenyewe kwa wenyewe, na wakati tunafahamu kiongozi mzuri ni yule anayewaleta wananchi pamoja kufanya kazi kwa lengo moja na na kwa manufaa ya taifa lao!
Hivi majuzi tu, kuna kauli ya kiongozi wa ccm...
"Mbunge wa CCM akikwambia ataleta maendeleo amini hilo maana Serikali iliyopo madarakani ni ya CCM" - Kheri James "
"Watu wa Tandale mkichagua kishabiki, hamumkomoi Mtu bali mnajikomoa wenyewe. Msipoichagua CCM hamuikomoi bali mnajikomoa wenyewe. Maamuzi ya nani anakufaa yabaki kuwa yako usiruhusu kuwapa nafasi Watu kukuchagulia. Ukilala na njaa, ukitembea kwenye barabara mbovu, ukikosa huduma bora za kijamii ni wewe pekee utakayeteseka." - Kheri James "
Ninasema kama katiba haitapewa kipaumbele kuliko hata vyama vya siasa, basi tutambuwe kuwa taifa letu siyo tu kwamba litabaki hapa lilipo bila maendeleo ya maana, bali litadidimia kabisa na haitashangaza kuona kuna mataifa yatakayotamani kututawala!
Misingi yote imewekwa na katiba! Na katiba imekataza ubaguzi wa aina zote pale serikali inapodeal na wananchi wake, iwe kupeleka maendeleo kwa wananchi wake, au hata kuwapa huduma muhimu za kijamii kama maji, barabara, umeme nk. Serikali inataka tuone kama vile ni msaada inatupatia au priveledge! Kumbe ni haki kwa mujibu wa katiba ya nchi. Na ni shghuli zinazotokana na kodi za wananchi wote bila kujali misimamo yao ya kisiasa!
Katiba mpya ni muhimu sana kupita maelezo, wananchi walio wengi bado hawajui umuhimu wake kwasababu maisha yao yote wako chini ya minyororo ya maamuzi na utashi wa watu badala ya sheria na katiba ya nchi! Tutakuja kujutia jinsi ambavyo tulipoteza muda bila ya madai ya katiba mpya kwa nguvu zetu zote!
Ni muhimu tujenge taifa jipya lenye watu wenye kujielewa ili baadaye tupate viongozi bora ambao ni matunda bora ya katiba bora! Na reflection ya wananchi wanaojielewa.
Tunatakiwa tuwapime viongozi wetu kwa mujibu wa katba na siyo majina mara sijui oooh mimi jiwe! Inasaidia nini? Unaongoza wanyama au ndege? Tunataka nchi yenye kuongozwa na katiba, period!
I don't even know where to begin.

Utanyooka tu..!Tuna hasara kubwa sana kuwa na huyu bwana.
Yajayo yanasikitishaI don't even know where to begin.

Ni kweli mkuu! Lakini hatuwezi kuwa na katiba inayotegemea mainly utashi wa mtu! Sababu za kuwa na katiba ya aina hiyo kwanza zilishapitwa na wakati! Huyu rais wa sasa ndo ametuamsha Zaidi kufahamu umuhimu wa kuwa na uongozi unaofuata katiba ya nchi.JK ndo alituletea jiwe watz! Laana yote iende kwake maana mateso na taabu watz wanapata ni kwa sababu yake.
Umeandika upuuzi mrefu lakini hakuna hata mahali ulipoonyesha jinsi katiba ilivyovunjwa.
Bado hujaona katiba ilipovunjwa mwanalumumba?SEHEMU YA TATU HAKI NA WAJIBU MUHIMU Haki ya Usawa Usawa wa binadamu Sheria ya 1984 Na.15 ib.6 12.-
(1) Binadamu wote huzaliwa huru, na wote ni sawa.
(2) Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake. Usawa mbele ya Sheria ya 1984 Na.15 ib.6 13.-
(1) Watu wote ni sawa mbele ya sheria, na wanayo haki, bila ya ubaguzi wowote, kulindwa na kupata haki sawa mbele ya sheria. Sheria ya Na.4 ya 1992 ib.8 Sheria ya 2000 Na.3 ib.5
(2) Ni marufuku kwa sheria yoyote iliyotungwa na mamlaka yoyote katika Jamhuri ya Muungano kuweka sharti lolote ambalo ni la ubaguzi ama wa dhahiri au kwa taathira yake.
(3) Haki za raia, wajibu na maslahi ya kila mtu na jumuiya ya watu yatalindwa na kuamuliwa na Mahakama na vyombo vinginevyo vya Mamlaka ya Nchi vilivyowekwa na sheria au kwa mujibu wa sheria.
Uko sahihi kabisa. Ila hata hii iliyopo(pamoja na kwamba inahitaji kubadilishwa), bunge likiamuwa linaweza kumwajibisha nchi ikarudi kwenye msitari ama utawala unaofuata katiba. Hadi usawa huu, ni wazi kabisa mkuu wa nchi amevunja katiba. Hiloiko wazi, lakini badala yake nchi imekuwa kama ya mang'ombe ynayoswagwa tu.No one is above the law. No one should be.Kwa katiba ya sasa kuna hatari ya kuongozwa na rais kichaa akawa anatoa matamshi na maamuzi ya ukichaa kichaa
Well said mkuu Drifter . Kwanza nashukuru sana kwa nasaa zako. Nakumbuka wewe ni mmojawapo wa members ninaoheshimu nondo zao. Umepotea sana mkuu.Mkuu JMushi1, umeandika kwa mantiki iliyotulia vyema. Lakini usihau kuwa huyu Rais ni zao la jamii ya Watanzania. (Jiulize kwanza sisi Watanzania ni watu wa aina gani kutoa Rais wa aina hii?) Dhana ya kutokuwepo mtu aliye juu ya sheria inabakia kuwa dhana tu hapa nchini. Bila shaka unafahamu kuwa tangu uhuru Rais wa Tanzania amekuwa juu ya sheria - awamu zote. Watanzania kwa ujumla wetu tumeruhusu hali hiyo kuwepo huku tukishabikia watu (individual presidents) na kuwalinganisha kama vile tunatarajia miujiza ya kiuongozi toka kwao badala ya kuhakikisha wanafanya kazi kwa kuzingatia miongozo thabiti ya kikatiba.
Muasisi mwenyewe alitahadharisha kuwa katiba “aliyotutengenezea” inamwezesha kuwa dikteta mbaya sana. Au anaweza kutokea dikteta mbaya zaidi kwa katiba hiyo. Ajabu ni kuwa hakuwa na utashi wa kutaka kuirekebisha. Tatizo kubwa zaidi ni mtindo wa uongozi aliouasisi wa raisi asiyehojiwa. Sasa kaingia “kichaa”. Na yeye (huyo kichaa) anautumia mfumo Huo kikamilifu. Tena yeye na chama chake hawana mpango wa kurekebisha urithi maridhawa walioachiwa na muasisi. Kazi kwetu!
Mkuu, katiba ya nchi imeweka wazi kabisa kuwa mtu mwenye matatizo ya akili anaweza kuondolewa kwenye kiti cha urais. Hizo taratibu zipo.Naitafakari sana katiba ya JMT, 1977.
Ibara ya 37(2)na 39(1)(d)
Mtu akiwa kichaa anakosa sifa ya kuwa Rais wa JMT
Nawasihi mawaziri watekeleze wajibu wao kisheria kupeleka hoja kwa jaji mkuu ili kumwondoa/kumpumzisha mgonjwa.
Tusimbeze Mheshimiwa, huenda alienda kupima mahali akaambiwa tatizo lake.
Who knows?!