Wafanye mabadiliko ya nini? Hawapelekwi huko kwa mtutu wa bunduki, waache wachache wanaoweza wafanye kazi zile.
Hata kama akibaki mmoja, huyo huyo ataweza utawa. Mambo ya dini ni hiari!
So the father of the Baby is UNKNOWN?!!!
father, please forgive me for i have sinned😛ray2:
hakuna aliye msafi - (ND) jay dee
we si unashangilia kwakuwa ni ukristo unaweka mambo hadharani, unadhani basi uarabuni wakifanya makosa utajua?aliye msafi ni huyu anayepata shoti moja kabla kupata msaada wa roho mtakatifu kutibu vilema Utapeli kwa jina la Mungu - YouTube
So the father of the Baby is UNKNOWN?!!!