A Catholic nun gives birth in Italy

A Catholic nun gives birth in Italy

Status
Not open for further replies.
Waona cha ajaabu saaana
Wtt wabakwa na mapadri
Eti nun hakujua mpaka alipoenda Hosp wanatia huruma na mambo yao hawa wazungu. Tuwe na imani zetu
 
Kawaida kwa vipi, kuzini nje ya ndoa ni kawaida? Kongosho (sikujui anyway) una mme? Ukimcheat ni kawaida?

Babu mbona umewaka sana....

Kwa wale tulio karibu na hawa ndugu, haya mambo yanaendelea kwa kasi ya kutisha!!

Babu DC!!
 
a common phenomena in the catholic church.sidhani kama hii ni habari ya kushtua.
 
Babu mbona umewaka sana....

Kwa wale tulio karibu na hawa ndugu, haya mambo yanaendelea kwa kasi ya kutisha!!

Babu DC!!

mwambie huyo mkuu.cc wengine mpaka tulibahatika mpaka ku date na hao nuns.
 
Kutokuoa ama kuolewa ni kujidanganya na kuongeza zinaaa na machokoraa, maana faza akipiga mtu mimba huyooooo anaingia mitini, maza wa dogo anashindwa leo mwisho wa siku kachokoraa kanatalii kwa muji, hatari hii, hebu acheni hizo kubalini tu watu wamiliki na kumilikiwa haha....
 
Nimesema ni kawaida kulingana na sura ambayo mwandishi alitaka kuitoa, walei wangapi wanazini? Ni exceptional kwa sister?
Kuzini ni kawaida ama si kawaida kutegemea na tamaduni za eneo husika, hujawahi sikia dhana ya mafiga matatu?

Kawaida kwa vipi, kuzini nje ya ndoa ni kawaida? Kongosho (sikujui anyway) una mme? Ukimcheat ni kawaida?
 
hata wao ni binadamu
wanajaribiwa kama wengine
 
Nimesema ni kawaida kulingana na sura ambayo mwandishi alitaka kuitoa, walei wangapi wanazini? Ni exceptional kwa sister?
Kuzini ni kawaida ama si kawaida kutegemea na tamaduni za eneo husika, hujawahi sikia dhana ya mafiga matatu?
Hapana si kawaida, ni kuvunja tunachokatazwa! Hata dhana ya mafiga matatu, naamini kabisa mume hawezi kukubali kuwa dhana ya mafiga matatu inatoa uhalali wa mke wake kutafuta wanaume wengine wawili! Walei sawa, lakini sio kawaida ndio maana unawatolea mfano maana wanafanya kisicho cha kawaida!
 
Babu mbona umewaka sana....

Kwa wale tulio karibu na hawa ndugu, haya mambo yanaendelea kwa kasi ya kutisha!!

Babu DC!!
Yanafanyika,ninachokataa ni kuwa kimeshakuwa kitenda cha kawaida! Kawaida mtu atajinadi, lakini waulize kama watakubali
 
Hongera sista kwa kutuzalia mtoto bila kuitoa hiyo mimba. Hizi case zipo sana na wengine hawajapata tu mimba ila wanazini kama kawaida. Maisha ya kuishi bila mwanamume au mwanamke ili hali wewe ni kamili ni mazito na magumu sana hasa katika umri wa huyu sista. Ni wakati umefika kanisa lifanye mabadiliko kwa sheria na taratibu za daraja la upadre na masista. Vinginevyo wataendelea kuzini, mnafurahia kuona hawana mimba but walizotoa ni nyingi na wengine wanatumia contraceptives, mapadre ndiyo usiseme kwa kuwa wao hawabebi mimba but are several children out there.
 
A 31-year-old El Salvadoran nun has caught the Roman Catholic Church off guard by giving birth to a baby boy.
Roxana Rodriguez-was rushed to a hospital in Rieti, Italy on Wednesday for severe stomach pains. She eventually had the baby several hours later and decided to name him Francesco in honor of the Pope.

Huyu sista kabeba kashfa ya karne.Wapelelezi wakianza kumfuatilia kuna mengi yatajitokeza ambayo pengine kanisa lisingependa watu wajue.Kwa nini azae mtoto mwanaharamu harafu amwite francesco jina la pope? Je anamtukana direct pope kuwa ni mwaharamu au ana siri kuhusu huyo pope mpaka amwite eti kwa heshima yake.Kwa heshima ipi hasa?

Aliyempa mimba hajulikani angalau kwa sasa.Lakini la uhakika mtoto anaitwa Francesco Kwa heshima ya pope francisco.Anayejua kwa nini mtoto kaitwa hivyo ni huyo sista pengine na papa ambaye anajua kwa nini huyo mwanamke kamheshimu mpaka akampa mwanae jina hilo.Mengi zaidi tunangoja kutoka kwa wachunguzi waliobobea kwenye high profile investigations.
 
Wafanye mabadiliko ya nini? Hawapelekwi huko kwa mtutu wa bunduki, waache wachache wanaoweza wafanye kazi zile.

Hata kama akibaki mmoja, huyo huyo ataweza utawa. Mambo ya dini ni hiari!

Hongera sista kwa kutuzalia mtoto bila kuitoa hiyo mimba. Hizi case zipo sana na wengine hawajapata tu mimba ila wanazini kama kawaida. Maisha ya kuishi bila mwanamume au mwanamke ili hali wewe ni kamili ni mazito na magumu sana hasa katika umri wa huyu sista. Ni wakati umefika kanisa lifanye mabadiliko kwa sheria na taratibu za daraja la upadre na masista. Vinginevyo wataendelea kuzini, mnafurahia kuona hawana mimba but walizotoa ni nyingi na wengine wanatumia contraceptives, mapadre ndiyo usiseme kwa kuwa wao hawabebi mimba but are several children out there.
 
Uchunguzi wa nini? Hata kama mimba ni ya Pope bado sioni la ajabu, naye ni binadamu. Ndio maana kabisa linatambua kitubio, na ki kwa wote walio wakatoliki, na hapo ndio mwisho wa hukumu ya mtu kikanisa, hata kama kafanya nini hawezi nyang'anywa ukristu wake. Kama ni mtumishi kwa kanisa, wanachofanya ni kumsimamisha tu kutoa huduma za kichungaji, so kama ni pope ata-step down. Ni maajabu no, maaskofu wangapi na mapadri wangapi washastep down?

Hata hivyo, kama unachodhani kampa jina la pope sababu ni wake, haitakuwa na maana sana. Wangapi wanawapa watoto majina ya baba zao? Anyway, ngoja tusubiri tuone.

Huyu sista kabeba kashfa ya karne.Wapelelezi wakianza kumfuatilia kuna mengi yatajitokeza ambayo pengine kanisa lisingependa watu wajue.Kwa nini azae mtoto mwanaharamu harafu amwite francesco jina la pope? Je anamtukana direct pope kuwa ni mwaharamu au ana siri kuhusu huyo pope mpaka amwite eti kwa heshima yake.Kwa heshima ipi hasa?

Aliyempa mimba hajulikani angalau kwa sasa.Lakini la uhakika mtoto anaitwa Francesco Kwa heshima ya pope francisco.Anayejua kwa nini mtoto kaitwa hivyo ni huyo sista pengine na papa ambaye anajua kwa nini huyo mwanamke kamheshimu mpaka akampa mwanae jina hilo.Mengi zaidi tunangoja kutoka kwa wachunguzi waliobobea kwenye high profile investigations.
 
Dhambi zisingekuwa kawaida zisingetungiwa sheria

Kutungiwa sheria kitu, ujue kitu hicho kipo kwenye jamii ila jamii haikikubali. Na kanisa kuweka kitubio, maana yake inatambua kuwa waumini wanakosea, so wanahitaji kitubio. Vinginevyo adhabu ingekuwa ukikosea tu, unafukuzwa.

Kimtaani tunasema, sheria zipo ili zivunjwe, zisipovunjwa kwa muda mreeefu sana zinafanyiwa mabadiliko kuendana na uvunjaji mpya wa sheria uliopo.

Back
Top Bottom