A Call For A Palace Coup: CHADEMA

The man has opted to die with his properties, he won't write any will and he is consuming all by himself
 
Jambo baya zaidi kwa Chadema ni kuwa kinahitaji warithi ambao hawapo kwa Sasa wote wameshaondolewa kwa kila namna ya zengwe.

Kwa mfano huu ndio ulikua wakati mzuri kwa zito kushika uongozi wa chama; ameshaondolewa na hana tena ule ushawishi aliowahi kuwa nao.

Ubinafsi umekimaliza chama.
 
..I think Mbowe should announce that he will no seek re election as party chairman.

..The party needs ppl who are more inspiring and dynamic at the top positions than who are currently there.
In fact, the party is facing a lot of challenges ahead of 2020 elections. It is high time to change the leadership before things become too worse
 
Nyani Ngabu

Bila shaka unafahamu karibu viongozi wote wa juu wa CDM wana kesi inawakabili mahakamani ikihusishwa na mauaji ya binti yulee.

Ukishajua kinachotafutwa hapo mengine huitaji kusimuliwa.

Pamoja na yote hayo, mabadiliko ya kiuongozi yanahitajika sana tu.
 
Hebu jielekeze kwenye hoja ambayo inamtaka mbowe ajiuzulu kupisha damu mpya
Hivi vilio sijui dola ni kuficha tu hoja za kubadili uongozi
Ni mwaka gani ambao kulikua hakuna vyombo vya dola
 
Tujiandae tu kisaikolojia upinzani kufa,hata ungemuweka malaika ktk uenyekiti wa cdm sidhani kama ataweza kupambana na huyu mkulu Watanzania bado kufikia level ya kukataa cheo endapo ukiahidiwa tena na mwenye nchi,ngoja tusubiri labda wajukuu zetu wataweza
 
Kama wangelikuwa ni CUF wangelideclare jihad na kuvamia ofisi na mapanga kumuondoa mwenyekiti.
 
Last edited:
Ngosha bwana unatukaribisha kwa kiswahili matatizo yako unatueleza kwa kingereza ?
Kama ni muunganisha dot kumbumbuka aliyosema EL baada ya kutoka ikulu
Hakuna aliyekanusha hadi leo
Business as usual

Hebu nikumbushe...
 
Hivi huyo Mbowe ni mwenyekiti wa maisha huko CHADEMA ?
 
Kazi ya viongozi kutafuta suluhisho la matatizo.
Sasa kama CHADEMA ina viongozi ambao hawajui namna ya kutatua matatizo yanayo wakumba kwa sasa ni dhairi hao sio viongozi wazuri.

Kiongozi anapoishia na yeye kuwa mlalamikaji tu na kuaminisha wafuasi wake kwamba hakuna njia ya kujikwamua bali kusubiria huruma ya mshindani wake yeye hawafai wafuasi wake.

Wakati wa kudai uhuru watu wengi walifunguliwa kesi lakini hatimae walifanikiwa kutuletea uhuru.
Mikutano ya kisiasa ilikumbana na vikwazo kuliko vya sasa. Maana sasa angalau wabunge wanaruhusiwa kufanya mikutano kwenye majimbo yao.

Viongozi wasirudi kwetu kutuuliza sasa wafanye nini baada ya sisi kuwahoji inakuwaje mambo haya yanatokea. Hiyo ni kazi yao (kutafuta majibu).
#MboweMustGo
 
In fact, the party is facing a lot of challenges ahead of 2020 elections. It is high time to change the leadership before things become too worse

..i agree.

..but the biggest challenge is how to compete with ccm which is above the law.
 
They are building the Nation Chief......... Ironically.
 

..hebu tueleze viongozi au wanaharakati wangapi wa Tanu waliuawa?

..au viongozi wangapi wa Tanu walishtakiwa mahakamani tulinganishe idadi na kesi za viongozi wa chadema mahakamani.
 
Never call this as crisis to CDM; kushindana na chama tawala tena kilichoamua kutoa what called takrima kwa wanachama wapya wanaotoka CDM pekee ni vita kali mno.

Ni ngumu mno kujustify kama kweli CCM asili imekosa watu wa uteuzi hadi kuwatumia hawa vijana waliohamia juzi juzi mwao.

Kwa mtu wa kawaida kabisa unajua kinachoendelea ni kipi.

Kushindana na vyama tawala katika nchi za kiafrika ni kazi ngumu; hata hivyo si muda wa wapinzani kunyoosheana vidole; so far so good; wao wasonge mbele; ukiona mbu wanakushambulia sana ujue kunakaribia kukucha.
 
Ili mtu awe mkuu wa wilaya anahitaji kuwa na vigezo gani?
 
Ni week hii au ijayo Mbunge wa Ubungo ataunga rasmi juhudi za Living Stone..kuna mambo ya kuweka sawa yamebakia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…