Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,890
- 141,547
Baada ya uchaguzi wa mwaka 2020 sidhani kama Chadema itakuwa na mbunge. Sasa hivi wamebakia kujifariji na wameishiwa kila mbinu. Sijui hata uongozi wa juu unasubiri nini kuvunja chama rasmi. Lakini hilo sidhani kama ni tatizo kubwa kuliko aina ya uteuzi unaofanywa na rais wetu wa sasa. Nashangaa jinsi vijana wapiga dili wavyopewa ukuu wa Wilaya na Mikoa. Sina la kusema ninavyoona machangudoa wakiukwaa ukuu wa wilaya. Hakika watanzania tusipojua adui yetu ni wanasiasa wote bila kujali wanatoka chama gani basi hali yetu itazidi kuwa mbaya.Karibuni kwenye mjadala makamanda. Povu rukhsa.
Baada ya uchaguzi wa mwaka 2020 sidhani kama Chadema itakuwa na mbunge. Sasa hivi wamebakia kujifariji na wameishiwa kila mbinu. Sijui hata uongozi wa juu unasubiri nini kuvunja chama rasmi. Lakini hilo sidhani kama ni tatizo kubwa kuliko aina ya uteuzi unaofanywa na rais wetu wa sasa. Nashangaa jinsi vijana wapiga dili wavyopewa ukuu wa Wilaya na Mikoa. Sina la kusema ninavyoona machangudoa wakiukwaa ukuu wa wilaya. Hakika watanzania tusipojua adui yetu ni wanasiasa wote bila kujali wanatoka chama gani basi hali yetu itazidi kuwa mbaya.
Karibuni kwenye mjadala makamanda. Povu rukhsa.
Mkuu umetoa kauli nzito sasa sijui viongozi wa CHADEMA waanzie wapi hapo chaguo la pili.Kuna chaguzi mbili tu, chama kife au kiwe imara zaidi.
Ngosha bwana unatukaribisha kwa kiswahili matatizo yako unatueleza kwa kingereza ?Karibuni kwenye mjadala makamanda. Povu rukhsa.
Nimeona ningeongeze asante ya maneno kabisa. Umesema kweli mno. Tofauti ya CCM na Chadema ni aina na rangi ya nguo wanzovaa! Hakuna tofauti nyingine!..ukiwakutanisha ktk majukwaa ya siasa sioni kama kuna anayemzidi mwenzake.
..kuna kipindi ilikuwa unaona ccm wamewazidi wenzao kwa hoja za kisomi na zenye upeo. sasa hivi ile GAP haiko tena.
..kilichobadilika sasa ni CCM kutumia vyombo vya DOLA. Wenzao wakiwa challenge kwa hoja za kisiasa CCM wanatumia vyombo vya dola kuwadhibiti.
..CCM iko juu ya sheria.
Mkuu umetoa kauli nzito sasa sijui viongozi wa CHADEMA waanzie wapi hapo chaguo la pili.
Watu wana agenda yao ya siri, sleeping agents at work, na inaonekana mbowe ndio kikwazo kwao kuamka.Binafsi Sidhani kama uwepo wa Mh Mbowe kama Mwenyekiti Ndio Tatizo,naamini bado ni mtu sahihi kukiongoza though haimaanishi kuwa hapaswi kupisha wengine.
Shida kubwa hivi sasa ni namna "mkazi mkuu wa magogoni" alivyoamua kutumia mabavu kuiendesha nchi awamu hii,lakini pia muitikio wa Wananchi kwenye Hali iliyopo sasa.
Ili kwenda Naye sawa ni wazi tukubali kumwaga damu, kufungwa.Lakini hayo yatawezekana tu Ikiwa Watanzania wote tutaacha kuwa watanafkii na waoga Kwa ajili ya maslahi ya nchi yetu.
Kupambana Na udhalimu wa utawala huu sio jukumu la Mbowe ama vyama vya upinzani,ni jukumu letu Sisi kama Watanzania.
Tuache unafiki, ubinafsi na woga tupambane, ama tukae kimya milele na tusiwanyooshee vidole vya lawama wakina Mbowe.
Nakubaliana na wewe 100%All is not well within CHADEMA.
There is a crisis. A major one, at that. It's a leadership crisis.
This crisis, in my opinion, has reached critical mass and something/ someone's gotta give before it's way too late.
A fish rots from the head down. Now it's time for CHADEMA to cut the head off in order to salvage whatever is left of it.
So I'm calling on the rank-and-file members of the party, if they care enough about the future of their party, to depose its leadership in a palace coup.
They can go about it nonviolently through methods like civil disobedience and the like.
Mbowe must go. It's been long overdue. Under him, the party has plateaued. Some might even say it's getting weaker and weaker by the day.
The party badly needs some new blood with new ideas and ways of doing things.
But that begins with getting rid of the longtime chairman, one Freeman Mbowe.
Nimeona ningeongeze asante ya maneno kabisa. Umesema kweli mno. Tofauti ya CCM na Chadema ni aina na rangi ya nguo wanzovaa! Hakuna tofauti nyingine!