Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,240
- 44,483
Kwa mfano, nani alikuwa Waziri wa Nishati na Madini 1997, na nani alikuwa Waziri wa Ulinzi na JKT.. things like that..
Najaribu kutengeneza "historia fupi ya mafisadi" (A Brief History on Corrupt Officials".. Na nimechagua kuanzia 1997 (there is a reason for that).
Najua wachache walikuwa nani:
Ningependa hasa kujua Baraza la Mawaziri la Mkapa lilikuwa na nani, hususan Ulinzi, Nishati na Madini, Biashara, Uchumi n.k
Halafu vyombo vikuu vya dola vilikuwa vinaongozwa na nani: JWTZ, Polisi, Usalama wa Taifa

Ukirudi nyuma sana itabidi urudi hata enzi za ukoloni. Nina hakika mizizi ya rushwa serikalini ilipandikizwa enzi hizo. Bureaucracies zote tumerithi kutoka kwa mkoloni.Ungeanzia na mzizi wa Rushwa. Rushwa ilianza tangu tulipopata Uhuru. Rushwa ilianza kusababishwa na bureaucracies iliyokuwepo Serikalini.
Ukirudi nyuma sana itabidi urudi hata enzi za ukoloni. Nina hakika mizizi ya rushwa serikalini ilipandikizwa enzi hizo. Bureaucracies zote tumerithi kutoka kwa mkoloni.
Mkoloni hakuwa na ufisadi alikuwa na nidhamu kubwa ya kazi na hakuwa mbabaishaji hata kidogo. Ubabaishaji huu na ufisadi tumeuingiza kutoka sehemu nyingine. Hatukuutoa kwa mjerumani wala muingereza.
Harage,Mkoloni hakuwa na ufisadi alikuwa na nidhamu kubwa ya kazi na hakuwa mbabaishaji hata kidogo. Ubabaishaji huu na ufisadi tumeuingiza kutoka sehemu nyingine. Hatukuutoa kwa mjerumani wala muingereza.
Hatujali historia, rekodi, elimu. Inawezekana nchi nzima hakuna anaejua mabaraza ya mawaziri ya marais wote kutoka Desember 1961, si wanazuoni, si waandishi wa habari, si wana historia.
By the way, mtu anaweza kuandika kuhusu "historia ya mafisadi" kama hawajui ni kina nani?
Mwaka 1997 Tume iliyoundwa na Raisi Makapa kuchunguza Rushwa ilitoa Ripoti yake, na mwaka huo mawaziri kadhaa walipoteza nyadhifa zao; akina Dr. Ngasongwa, n.k.Najaribu kutengeneza "historia fupi ya mafisadi" (A Brief History on Corrupt Officials".. Na nimechagua kuanzia 1997 (there is a reason for that).
Najua wachache walikuwa nani:
Ningependa hasa kujua Baraza la Mawaziri la Mkapa lilikuwa na nani, hususan Ulinzi, Nishati na Madini, Biashara, Uchumi n.k
Halafu vyombo vikuu vya dola vilikuwa vinaongozwa na nani: JWTZ, Polisi, Usalama wa Taifa
Dilunga,Hatujali historia, rekodi, elimu. Inawezekana nchi nzima hakuna anaejua mabaraza ya mawaziri ya marais wote kutoka Desember 1961, si wanazuoni, si waandishi wa habari, si wana historia.
By the way, mtu anaweza kuandika kuhusu "historia ya mafisadi" kama hawajui ni kina nani?
Mwaka 1997 Tume iliyoundwa na Raisi Makapa kuchunguza Rushwa ilitoa Ripoti yake, na mwaka huo mawaziri kadhaa walipoteza nyadhifa zao; akina Dr. Ngasongwa, n.k.
Wakuu kuna mtu yeyote aliyewahii kuiona ripoti ya jaji Warioba,je tunaweza kuipata humu jamvini? maana inaelekea hii imefichwa sana.
Hii taarifa haijafichwa ila ni kubwa mno.Labda kuona uwezekano wa kuweka muhutasari wake