93.7 FM Gardner Radio

93.7 FM Gardner Radio

Mwaya nngu007 ngoja nikujibu Gadner ni Mume wa mwanamuziki Lady Jay Dee. Au pia huyo Lady Jay Dee humfahamu?
 
Last edited by a moderator:

Hivi kumbe mnajitoaga fahamu kiasi hiki. Nimecheka sana dah! JF idumu
 
Jf bhana daa nngu007
Gardner ni mtangazaji times FM baada ya kuacha clouds FM hapa tz pia ni mume wa mwanamuziki mahiri Lady jay dee...
 
Last edited by a moderator:
Gadna ni mme wa jd na alikua mtangazaji wa clause radio.
Cha kushangaza nini hapa kwa kua jd ana pesa na jina kuliko mumewe ndiyo ajabu! Wabongo bwana mbona ishu za udaku hazina nafasi jf watu wanawaona wapuuzi ktk hili.
 
Muulizeni HENRY MDIMU anajua mmiliki wa hiyo radio.

hivi huyu jamaa kaacha kutengeneza chemli na koroboi?
Maana kipindi cha mgao nae anakuwa na nyodo na anaringa na kazi yake....dah iahi ujionee
 
Gadna ni mme wa jd na alikua mtangazaji wa clause radio.
Cha kushangaza nini hapa kwa kua jd ana pesa na jina kuliko mumewe ndiyo ajabu! Wabongo bwana mbona ishu za udaku hazina nafasi jf watu wanawaona wapuuzi ktk hili.

ungeandika tu alikuwa mtangazaji wa redio ya wafu...
Ona sasa umetaka kuandika kingereza matokeo yake umejamba sasa.
 
ngoja nikujibu gadner ni mume wa mwanamuziki lady jay dee. Au pia huyo lady jay dee humfahamu?

mtoa mada alishasema pale mwanzo kuwa ni mume wa jide,ye akaleta mashauzi eti ndo nani. Acha apewe makavu ajifunze
 
Gadna ni mme wa jd na alikua mtangazaji wa clause radio.
Cha kushangaza nini hapa kwa kua jd ana pesa na jina kuliko mumewe ndiyo ajabu! Wabongo bwana mbona ishu za udaku hazina nafasi jf watu wanawaona wapuuzi ktk hili.

unamaanisha clause kama wanayosoma hkl?
 
hivi huyu jamaa kaacha kutengeneza chemli na koroboi?
Maana kipindi cha mgao nae anakuwa na nyodo na anaringa na kazi yake....dah iahi ujionee

Sasahivi ndo zimezidi alikuwa akitafuta watangazaji majuzi juzi,
 
EFM- Mpambe wa Radio hiyo William Malecela aka Le Mutuuuuz System weraaaaaa aaaaayuuuuuu?????
 
hiyo radio siyo ya jide, hiyo radio inamilikiwa na kampuni ya e-masters ambayo ndo inamiliki kumbi za maisha club zilizopo mikoa mbalimbali hapa tz.
 
Back
Top Bottom