Gardner ni nani? Mwanasiasa ??
ni dereva basi la zuberi dar-mwanza
Gardner ni nani? Mwanasiasa ??
Huyu binti Machozi ni mtafutaji sana wala sishangai yeye kumiliki Radio station!!
Nadhani huo ni mwanzo tu,.
Gardner ni nani? Mwanasiasa ??
Golikipa wa Manchester United
Ivi kwani nyie mnaongelea nini? Ha ha ha!
Eti dada anamwomba boyfriend wake shs 500,000 akasuke! Jamaa anamuuliza unaenda kusukaa au kufanya operesheni ya kichwa?
Sasa huyo rubani ana uhusiano gani na hiyo radio, Au ni U-MIMI -- NO SHARING INFO as USUAL
ndio ni mwanasiasa pia ni wazili wa utalii wa somalia.
Alimshinda mpinzani wake wa siku nyingi,wayne rooney wa chama cha somalia democratic party(sdp)
Diwani wa kata ya Mpiji
Ni Rubani wa Air Tanzania....
Vumilia tu dadaNaona JF sasa vituko vimezidi.
Tiba
Hata mimi kwa kweli wameniacha hoi!Ha ha ha ha haaa!! Ndo maana nikichoka lazima nipite JF! Mkuu nimecheka saaana!! Mna mambo nyie!!
hapana, sasa anaendesha boti za kigogo-jangwani.....
Radio ya akina Majay hiyo
Mkuu alishaacha huko siku hizi ni refa wa mpira wa miguu