Aiseee mjini kuna tabu miaka hii. Inawezekana si asilimia hizo ila haya mambo yapo, yaani kuna wadada ukiambiwa hutoamini ila nafkiri wengi ni kuwa wako desperate kuolewa. Alafu cha ajabu ni kwamba wanaoendewa huko mara nyingi sio wachovu, mdada akishaona hapa pana mwanga kidogo basi huyooo ndruuki chanika na mimba anahakikisha kajilengesha kabisaa. Halafu pia
aina ya marafiki tunatunaohang nao around saa zingine uponza. Ila mnatia aibu alafu mkae mkijua zinaishaga vibaya.Wana kamsemo eti "Mungu" kasema jisaidie nami nitakusaidia
Angalia hiyo Mungu then utaelewa si yule tumtumainiaye ndo maana ana hizo alama.