90% za ndoa Tanzania zinapumulia limbwata

90% za ndoa Tanzania zinapumulia limbwata

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,932
Reaction score
11,852
Wanawake wa sasa hawajiamini kabisa kwenye ndoa na mahusiano yao kutwa kucha kwa waganga kutafuta madawa, yaani wanaume tumekula sana hayo mauchafu yao sasa sijui tatizo ni nini? au wanaume tumezidi kuchepuka? tatizo ni nini jamani?
 
sampling na idadi ya waliowekewa limbwata please.......tuzichambue data !!whats the method of data collection?
 
Utafiti umefanyia wapi? naye amtegemeaye mwanadamu malizia mwenyewe......hakuna lidumulo kwa limbwata kama wako wako kama sio mwache aende zake kisha cha kulishana takataka eti unafuga mwanadamu.
 
Msiwaruhusu kwenda Salon...huko ndo huwa wanaokota ushauri wote wa kishirikina....
 
submit your research papers please.... the numbers have to speak for themselves...


Ameji SAMPULI yeye mwenyewe kisha akaja Conclude hapa. Molembe, haya haraka research paper yako inatakiwa hapa
 
Last edited by a moderator:
He he he, umelishwa nyama ilolazwa mahabusu?

Usijali, hata hivyo, wengi tu siku hizi wanajipeleka mahabusu wenyewe.

Hivi wewe ni kuwa uko busy au basi tu umajinuni wa mjini!!!!!!
Mwambie King'asti ole wake
 
Last edited by a moderator:
dada chauro huo ndio ukweli kulishana taka noma kama sio riziku hakiliki hata kwa limbwata nimependa ujumbe wako big up sana
 
na nyie wanaume muache kwenda kwa waganga.. ..
 
Kumbwatisha mwenzio ili iweje? Sidhani kama hizo asilimia ni nyingi kiasi hicho unataka kusema asilimoa kubwa ya wanaume wameoa wasivyovipenda lah hasha ....!
 
mbona mimi sioni dalili yoyote ya wanaume kupewa limbwata 90%
 
Mmmm mlivyo mafundi ICHANA

ufundi upi????ufundi wa 6*6 au upi
kwa maana mwanamke akitumia ufudi aliojaliwa oooooh wewe utatulia waganga wa nin wakati amelaaniwa yule amtegemeae mwanadamu mwenzie

mganga ni mimi mwenyewe na matendo yangu na tabia yangu
 
Back
Top Bottom