90 year-old artist..

90 year-old artist..

Jackal

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
10,258
Reaction score
14,106
FB_IMG_1565624474464.jpg
 
Kama bibi yangu yaani. At 90 bado anachora hina maharusi. Tulitaka apelekwe maonesho ya saba saba akagoma
Yaani mlitaka kumfanya fursa ? Au mlitaka kumuonyesha fursa.. ?, wengine wanafanya vitu for fun.., msimchoshe mzee wa watu muacheni afanye kile kitu roho inapenda
 
Shida yote ya nini? 😎

Awaachiage vijana wale wanaotuchorea kina Nyerere walionuna na Simba wenye mawigi. 😀
 
Alipandaje mpaka juu kule na uzee wote huo... bado sijakubali [emoji16]
 
Back
Top Bottom