2009 nilipata nafasi ya kutembelea south africa na ilibidi niwaulize wenyeji vipi wakati wa kuduu mnafanyaje? Wale wadada wakaniambia kwa kweli huku watu wanapenda sana pekupeku halafu kibaya zaidi wanataka msuguano wa hali ya juu kwa maneno mengine hawataki MASHINE zenye majimaji hivyo huwa tunalazimika kuzikausha kabisa otherwise mwanaume atakukimbia , yaani hawataki kabisa kale kautelezi (mucus). Hili ndilo linalochangia kwa ailimia 100% mchubuko na hivyo kupata kirahisi maambukizi ya ngoma.