90% wanawake wametoa mimba

Kwa hizi takwimu inawezekana kabisa mtoa takwimu akawa mtoto wa nje ya ndoa. 80% utachomokaje hapo? Tena ni baada ya mimba kutolewa.
 
Hata kama hakuna source utafiti huu ni wa ukweli! Hasa wa wanawake kutoa mimba! Mwanamke hawezi kuolewa akiwa na zaidi ya miaka 30 bila kuwahi toa mimba!
 
Daaaah kwa hiyo probability kama mke wangu alitoa mimba kabla sijakuwa nae ni 9/10?Mweeeh hii inauma sana jamani kama ni kweli?

By the way ni njia ipi ya kitafiti uliifanya kuhitimisha haya uliyo andika hapa?
 
Daaaah kwa hiyo probability kama mke wangu alitoa mimba kabla sijakuwa nae ni 9/10?Mweeeh hii inauma sana jamani kama ni kweli?

By the way ni njia ipi ya kitafiti uliifanya kuhitimisha haya uliyo andika hapa?

Tatizo kubwa la wanawake kutokuzaa wakiwa kwenye ndoa moja ya sababu kubwa ni hii kwenye usichana wao walitoa mimba kadhaa, refer to Commando Jide.
 
Wanawake karibu 90% wametoa mimba,

40% wamezaa kabla ya ndoa,wanaume,

40% wamezaa nje ya ndoa zao,

80% wana watoto nje ya ndoa.

Wanawake ni waaminifu kwenye ndoa kuliko wanaume.

tupe methodology yako sample size na kwa nn ulifanya research hii.kumbuka total % should be 100%.sasa hapo kwako duh details zako ni ambiguity
 
Muacheni huyu keyboard si ni mali yake bna, na account karegister yeye.. Hii freedom of speech, watu kama hawa mnapotezea ka hamuoni
 
Nenda marie stopes watakueleza namna wanavyochezea vizazi vya wanawake!! Mimba zinatolewa kama pipi vile......
 
Tatizo kubwa la wanawake kutokuzaa wakiwa kwenye ndoa moja ya sababu kubwa ni hii kwenye usichana wao walitoa mimba kadhaa, refer to Commando Jide.
Hii ni fact number 1. Vizazi vilishachokonolewa sana hadi kufikia ndoa ni screpa. Mungu atusamehe bure na kutuonea huruma sie waja wake.
 
Pale marie kutoa mimba inaitwa msp na takwimu zake zinaonyesha kama ni first visit au revisit. Wengi ni revisit ikimaanisha ni wale wale. Hivyo hiyo 90% yako haina nantik. Kutoa mimba ni gharama. Ungesema wanawake wa Dar labda. Unasema Tanzania? Waombe radhi wahusika.
 

hahahaaaaa! Himidini mkuu upo juu. Hyo misemo yako inanikumbusha mwalimu wangu wa kiswahli nilipokuwa A level. Nafkir sijui ndo ww?
 

UMEkosea kidogo wanawake 8 kutoa mimba wanaume waliopiga mimba no chin I ya wanane kwa kuwa kidume kinaweza kujirudia hi yo basi wanaume no waminifu sana.
 
Mungu atusamehe na Don't judge us sana jamani,zaidi sana hamtusaidii ,mnatukumbusha maumivu tu,EVERYTHING HAPPENS FOR A REASON....LIFE IS NOT ALWAYS EASY,maamuzi magumu yanakukuta smtym,
(now aliye mtakatifu aninyoshee vidole#najihami mapema kabisa hapa)
 
Kumbukeni kila utafiti ulifanyika kwa wakati tofauti tofauti na ukawa na asilimia zake.
 
Inasikitisha sana....
Hata wewe mwanaume ukikumbuka kuwa ulikuwa chanzo cha kutoa mimba, ama chanzo cha kuleta mtoto nje ya ndoa, kumpa binti wa watu majukumu mengi, inauma na kusikitisha...

Wanawake wengi wanaozalishwa kabla ya ndoa wanachukua majukumu makubwa sana ya malezi. Mungu anirehemu nilee wanangu..
 

Umesema kweli, aliye msafi anyooshe kidole....
Na dhambi hii inazihusianisha pande mbili...
 

aminaaa,utalea kaka angu
 
Umesema kweli, aliye msafi anyooshe kidole....
Na dhambi hii inazihusianisha pande mbili...

japo hawatasema hapa,ila miyoni kila mtu anajua,..na wanaume wengine anakupa live kabisa,hataki kutumia condom,kuna jamaa mmoja ilidibi tuachane kw sbb hyo,ukimuuliza wt if i get pregnant,anakujibu,u will abort,ntakupa hela,SERIOUSLY???!!..NOT ANYMORE,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…