90 degrees

Mkuu inaonyesha hesabu ilikupiga chenga ya mwili!!

Hiyo sio "90 degrees"... ungesema "45 degree" kidogo ungeleta maana.
Ainuke kidogo ndio ipatikane 90 hpo 45 40 30 yaani ngoma iko chini kabisa balaa lake kubwa hpo km hati imekaa sehemu ya waziwazi ndugu watakuja sikia tu "mnatakiwa muhame nyumba ishauzwa"
 
Haya ni makusudi tu,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii mbona 45°, alafu ni hatari kinyama, hiyo position!🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…