Sijui nilikuwa wapi hili bandiko likanipita!. Ila bandiko kama hili, lenye nondo kama hizi, lina thanks 1 ya kwanza ya kwangu, na huu ndio mchango wa kwanza kuchangia bandiko hili!.
Hadija Mkomanyile, ndie mwanamke pekee aliyenyongwa na Wajerumani.
P
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.