9 Ahadi za Mwana Gamba na Falsafa yenu Vs Gwanda. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

9 Ahadi za Mwana Gamba na Falsafa yenu Vs Gwanda.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by 124, Nov 21, 2011.

 1. 124

  124 Member

  #1
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa wana Gwamba wote Bado Tunazikumbuka ahadi zetu?
  1. Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja
  2. Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote
  3. Nitajitolea nafsi yangu kuondoa ujinga,magonjwa na dhuluma
  4. Rushwa ni adui wa haki,Sitapokea wala kutoa rushwa
  5. Cheo ni dhamana,sitatumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu
  6. Nitajielimisha kwa kadri ya uwezo wangu na kuitumia elimu yangu kwa faida ya wote
  7. Nitashirikiana na wenzangu wote kujenga nchi yetu
  8. Nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko
  9. Nitakuwa mwanachama mwaminifu wa CCM na raia mwema wa Tanzania na Afrika.
   Wanawakumbushieni! Chadema.
   
 2. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #2
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Tumekupata
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  Nov 21, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,829
  Likes Received: 10,142
  Trophy Points: 280
  Hizo ahadi zote zilikuwa sahihi kwa muda huo ila kwasasa zote zianze na hii hapa "Si"
  kwa mfano namba moja itakuwa inasomeka hivi; Binadamu wote SI ndugu zangu. Ndio hicho wanachofanya sasa magamba, zote wamezi-negate
   
Loading...