8th Sullivan Summit Arusha Tanzania

Safi sana kuwa na mipango mikubwa kama hii. Lakini mimi nina katatizo kadogo sana.... Pale AICC ya sasa nyuma yake ndipo yanajengwa majengo ya EAC...

Ile block tayari ipo congested na magari (insfrastructure) especially along the road to/fro Sanawari especially during rush hour. Kingine pale bwana hawa waheshimiwa hawana parking areas. Wana small areas dedicated to ICTR and wapangaji (very small you have to be a boss to get a dedicated spot) na kibaya zaidi ni wageni wote wanapaki along the road to Sanawari (again)....

Sasa jamani hatujui kuwa mipango mipya sio siting space tu pia tuangalie effect ya upanuzi kwenye day-to-day existence of all people in Arusha expecially miundombinu, services, environmental impact (sewage/garbage), employment nk!!

Bado sikubaliani na huu mpango mpaka wakubwa waseme ni vipi wame address hayo hapo juu.... Ndio maana tunaachwa na wenzetu wa West, wao wanapanga kila kitu in masterplan and kila atakaye develop lazima awe within the "Masterplan" sisi hapa kwetu tuna work/develop within "Respective pockets" na sio mipango ya jamii nzima... Tutafika kweli?? Jiulize hapo manake foleni za Dar (na sasa Arusha) hazitokani na magari mengi, bali ni mambo kama haya etiiii.......

WanaJambo wenzangu niwatakie Wikendi njema na yenye fanaka!!!
 
Soma hapo chini:

"The Chairman of the Board of Directors for the Leon H. Sullivan Foundation ambassador Andrew Young has presented this year's Sullivan Special award to President Jakaya Mrisho Kikwete for his commitment and zeal to eradicate poverty in Tanzania and for his efforts in fostering peace in Africa with a vision to bring prosperity.
The president was awarded during the Fifth Sullivan Summit awards Dinner held in Washington DC last night.

The dinner is a platform to honour leaders in the global community that have made a significant difference in the areas of their work including self help,social responsibility,economic empowerment and human rights.
 
Well, guess who prospered? was it Masatu, Nyoka, Mushi, Itende or Laiser?

Nope! It was Barricks, RDC, IPTL, Dowans and now the AL Kassum Ndege ya Hijja!
 
Jamani hawa wamarekani (weusi na weupe) wanatuchora sana. Wameshamsoma Jk in 5 minutes (americans are shrewd!) na wameweza kujua ni mtu wa misifa na viwanja. Wanatuzuga sana! Wanamwita kila leo kwenye viparty na kuhakikisha he is wined and dined alafu wanafanya dili zao. Ndiyo akina Tudor James hao! Sasa kafanya nini Jk for Tanzania when all indicators shows that he is in trouble and Tanzania is in bigger trouble.
 

Agree with you. Andrew Young nadhani ni mmoja wa share holders pale BARRICKS kama sikosei. Nadhani hapa ni kumvisha JK kilemba cha ukoka.
Hivi, was it important for the president to go to the US to attend a fund raising dinner? Who is paying the expenses?
 
Kama wengi wetu tulivyosikia, kumekuwa na matayarisho makubwa ya kuandaa mkutano wa Leon H Sullivan summit inayofanyika kila baada ya miaka miwili in an African Country. MWaka 2008 itafanyika Tanzania na serikali yetu inajiandaa kuinvest money kukarabati AICC na mengineyo. Lakini mimi nilikuwa napenda kujua zaidi kuhusu wahusika. Kwenye website nimeona kwamba ni kitu cha heshima sana na viongozi wao wanaonekana kuwa na credibility espcially Andrew Young! Leon Sullivan mwenyewe ametunukiwa alot of awards (presidential etc)na hata Kofi Annan, Bush na wengine wamesifia kazi zake even after his death. Kwa kweli sina la kusema in that case.
But baada ya kupitia CV za Andrew Young na kiongozi Jeter ambaye ni President nimegundua wengi wao wako katika position in a company called GoodWorks International LLC (GWI Consulting)
Information yao ya kazi na mengineyo ni:


http://www.goodworksintl.com/gwiconsulting/abo_over.html

Alafu picha ni ile ya Andrew Young na Jeter.

Sasa hii mimi naona kama vile ile 'nobel cause' za Leon H. Sullivan imebadilishwa na kuwa sasa biashara ya baadhi ya wahusika, kwani hao ma decision makers n.k. wasingewapata as clients kama wasingekuwa katika Sullivan foundation.
Mi nauliza tu jamani, maana tumeshazoea kuendeshwa kama kichwa cha mwendawazimu. Isn't this a conflict of interest, especially since kazi zao zinaendana moja kw amoja na hiyo non-profit activity yao.
Who is the consultant for the Leon H. Sullivan summit to be held in Arusha? How much were they paid?
Andrew Young alikuja hapa last year tukaambiwa ni 'private visit' kisha tukasikia issue ya Leon H. Sullivan summit. I do not want to think what this implies but I am open kabisa kupewa maelezo zaidi.
 

Dotori nimepata information zaidi kuhusu Leon H. Sullivan summit, please check my thread!
 


Please ask anyone from Sullivan foundation if they know anything about the sufferings of Tanzanians. I don't think you'll be able to get a concrete answer from them in regards to realities of life in Tanzania. In short they know NOTHING!
 
This Platform is a Pat-in-the-Back. Sisi binadamu tunahitaji hii pat wakati mmoja au mwingine wa maisha. Chukulia kama hii award: ya- mapipo hu made a significant difference in the areas of their work including self help,social responsibility,economic empowerment and human rights.
JK amebobea, na katika hiyo miaka miwili ndiyo atayojivunia,(historically) bado nane, we are yet to see! Maybe baada ya miaka miwili mingine atapewa award za Hollywood sijui category yake(commitment and zeal maybe),again we are yet to see!
 

Tulikuwa tunaongelea economic hitmen mi nikasema mtu kama JK anaweza asihitaji hata economic hitmen, anaweza kuvutwa kisaikolojia tu na kuhakikishiwa interests zake zinalindwa kwisha.This is exactly what I was talking about.
 
In a previous thread, JF member Dotori mentioned the Barrick connection with relation to Andrew Young hii hapa:
 
Jamani naendelea kutafuta information lakini mpaka sasa nina info ambayo inasikitisha! Kumbe we are puppets on a string! Huyu Andrew Young mpaka huko Marekani wamemshtukia si tunamkubatia. Ngojeni nikatafute infrmation nibandike baadaye, anyone else is welcome!
 
haya waliokuwepo huko tuambieni ilikuwaje? Was it worthy it? Kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Usalama na Sungusungu./..
 
Hmm! Ok ngoja niendelee kufanya utafiti. But naona kama mchanga wa macho nyingine!
 
Soma link hii hapa kuhusu Barrik Gold na mauaji ya Kongo. Andrew Young, George H.W. Bush, Bill Clinton na watu wengine wakubwa hata huko Umoja wa Mataifa wamo.





Kuhusu uhusiano wa Sullivan International na misifa kwa Kikwete si jambo la kushangaza. Hebu soma hapa maovu ya Mzee Andy Young kwa niaba ya Barrick Gold


Taarifa nyingine iko hapa

Pata taarifa zaidi hapa.

 
Seems to me as if it was a christmas party in disguise.Jamani JK ndo ukache hata kwenda Lisbon kwa ajili ya kamnuso kama haka?? khaaa! Shame man.
 
Sasa hao usalama wa taifa wako wapi wakati rais anashirikishwa na Mafisadi? Tunafahamu huwezi kuwaendekeza hadi pale na wewe uwe moja wao.

Natumaini kabla ya huu mkutano tutaona mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…