[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji16][emoji23][emoji2][emoji23][emoji23][emoji2][emoji23]Mmmmhhh.... Haya mambo ya nyota haya, ngoja niyaache maana kuna wakati niliyafatilia nikajua kwamba nyota yangu na ya mme wangu havipatani/haviendani na ndio sababu ya migogoro katika ndoa.
Eti solution ni kuachana... Subutuuuu, mjini tutabanana hivo hivo hizo nyota ngoja zigongane mpaka zigeuke mwezi!!!
Mmh kule sikushauri uamini sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna kuangalia nyota kwaSasa Mimi nimezaliwa 8th October jina linaanzia na L. Sijui nyota Yangu ni IPI hapo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna kuangalia nyota kwa
Kufuata herufi
Kufuata miezi
Kufuata tarehe ya kuzaliwa
Kufuata card za tarrot nk
[emoji23] [emoji23] [emoji23] empty sex?[emoji15] [emoji87] [emoji85]
Mie sijui nyota yanguWapi panakutatiza...!