80 kufutwa kazi ATCL

80 kufutwa kazi ATCL

Gudboy

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2009
Posts
867
Reaction score
82
wafanyakazi 80 kati ya 320 wanatarajia kupunguzwa kazi ATCL imefahamika. Sasa kazi kwenu wafanyakazi na pia napenda kutumia nafasi hii kuwapa pole wale wote watakaoguswa na zoezi hili, ila msikate tamaa kuna kazi nyingi za kufanya na sio kuajiriwa tu pia mwaweza kujiajiri.
 
Back
Top Bottom