kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 19,173
- 11,621
Ni lini uliachana na ukafiri ndugu mchungwaji?Nataka kuachana na Uislam kabisa kwani nimeshabaini kuwa si dini ni CULT.
Wee uuache ukafiri utakula wapi?
Unalishwa wewe na familia nzima na hao makafiri Leo utathubutu kutia kitumbua chako mchanga?
Teh teh teh teh
Kadanganye wenzako mkikutana weekend