7 Surprising Health Benefits Of Ramadan

7 Surprising Health Benefits Of Ramadan

Barakallahu fiik akhy Mahmood kwa Darsa nzuri sana.
Insha Allah na wale wasiokuwa waislamu huenda wakafunga na wao ili wapate faida hizo.
Nina rafiki zangu wasio waislamu wanafunga kuonja tu kipi wanachohisi waislamu na hakuna mmoja ktk wao aliyesema haoni faida ya kufunga.
Tunamuomba Mola mkarimu akubali Swaumu zetu .
Amin
Mfano wakristo kipindi cha mfungo wa kwaresma nao si wanapata faida kama hizo za kufunga?
 
Kwenye Uislamu kila ibada ina wakati wake maalumu, na kufunga saumu katika mwezi wa Ramadhani ni katika ibada kubwa kwa Waislamu, amri ya kufunga kwenye mwezi wa ramadhani ni ufunuo kutoka kwa Mwenyezi Mungu Mwenyewe kwa Waislamu.

Quran Al-Baqarah 2:183

يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ كُتِبَ عَلَيْكُمُ ٱلصِّيَامُ كَمَا كُتِبَ عَلَى ٱلَّذِينَ مِن قَبْلِكُمْ لَعَلَّكُمْ تَتَّقُونَ

Enyi mlio amini! Mmeandikiwa Saumu, kama waliyo andikiwa walio kuwa kabla yenu ili mpate kuchamngu.

Quran Al-Baqarah 2:184

أَيَّامًا مَّعْدُودَٰتٍۚ فَمَن كَانَ مِنكُم مَّرِيضًا أَوْ عَلَىٰ سَفَرٍ فَعِدَّةٌ مِّنْ أَيَّامٍ أُخَرَۚ وَعَلَى ٱلَّذِينَ يُطِيقُونَهُۥ فِدْيَةٌ طَعَامُ مِسْكِينٍۖ فَمَن تَطَوَّعَ خَيْرًا فَهُوَ خَيْرٌ لَّهُۥۚ وَأَن تَصُومُوا۟ خَيْرٌ لَّكُمْۖ إِن كُنتُمْ تَعْلَمُونَ

Siku maalumu za kuhisabika. Na atakaye kuwa miongoni mwenu mgonjwa au yumo safarini basi atimize hisabu katika siku nyengine. Na wale wasio weza, watoe fidiya kwa kumlisha masikini. Na atakaye fanya wema kwa kujitolea, basi ni bora kwake. Na mkifunga ni bora kwenu, kama mnajua.

Al-Baqarah 2:185

شَهْرُ رَمَضَانَ ٱلَّذِىٓ أُنزِلَ فِيهِ ٱلْقُرْءَانُ هُدًى لِّلنَّاسِ وَبَيِّنَٰتٍ مِّنَ ٱلْهُدَىٰ وَٱلْفُرْقَانِۚ فَمَن شَهِدَ مِنكُمُ ٱلشَّهْرَ فَلْيَصُمْهُۖ وَمَن كَانَ مَرِيضًا أَوْ عَلَىٰ سَفَرٍ فَعِدَّةٌ مِّنْ أَيَّامٍ أُخَرَۗ يُرِيدُ ٱللَّهُ بِكُمُ ٱلْيُسْرَ وَلَا يُرِيدُ بِكُمُ ٱلْعُسْرَ وَلِتُكْمِلُوا۟ ٱلْعِدَّةَ وَلِتُكَبِّرُوا۟ ٱللَّهَ عَلَىٰ مَا هَدَىٰكُمْ وَلَعَلَّكُمْ تَشْكُرُونَ

Mwezi wa Ramadhani ambao imeteremshwa humo Qur'ani kuwa ni uwongofu kwa watu, na hoja zilizo wazi za uwongofu na upambanuzi. Basi ataye kuwa mjini katika mwezi huu naafunge. Na mwenye kuwa mgonjwa au safarini, basi atimize hisabu katika siku nyengine. Mwenyezi Mungu anakutakieni yaliyo mepesi wala hakutakieni yaliyo mazito, na mtimize hiyo hisabu, na mumtukuze Mwenyezi Mungu kwa kuwa amekuongoeni ili mpate kushukuru.
Kwenye uislam kila ibada ina wakati wake, sawa! Na kwenye ukristo kila ibada pia ina wakati wake, sasa hapo umeeleza faida za kufunga kula ambazo pia unaweza kuzipata kipindi cha mfungo wa wakristo(kwaresma). Au hizo faida za kutokula ni mpaka ramadhani tu?
 
Umesoma andiko lote, limeeleza sababu mnafunga pamoja swala la kufanywa na watu wote linakurahisishia kulitekeleza sababu vishawishi vya kula vinakua vichache pia kuna ile hali ya mob psychology kua mbona flani anaweza kwann mimi nishindwe inakusaidia kufanikisha, ukifunga January wewe mwenyewe watu wote wanakula ndio sababu wengi wafanya diet huwa wanaishia nusu wanaacha
Ina maana hata kipindi cha mfungo wa wakristo(kwaresma) unaweza pia kupata hizo faida kwa maana nao wanafunga , au mpaka iwe ramadhani tu?
 
Bado hakuna hoja hapa kwani kwa yale maeneo waislam ni wachache huwa hawafungi! ?
Kuna watu ni wajinga sana, sisi haousegirl wetu ni muislam na anafunga, ila nyumba nzima hatufungi! Wao wameeleza faida za kufunga, ambazo sio lazima mpka iwe ramadhan! Eti ramadhan wanafunga wengi, aje huku aone kama wengi wamefunga au laa!
 
Kuna kuuliza kutaka kujua na kuna kuuliza ili kuchangamsha genge, kama ni wa kujua utakua umeelewa kama unataka kubishana hapo sina neno zaidi, ila tambua imekatazwa kumchunguza sana Muumba wako sababu mwanadamu ni mtu wa kutafuta sababu ili tu asifanye jambo hata ukipewa sababu za msingi bado tu utaamsha notations zingine ili mradi iwe unavyotaka wewe, hivyo kama unataka kufahamu basi ukweli wa faida za funga hizo miongoni mwao ila kubwa zaidi ni Ibada na ni muda wa kuomba msamaha wa makosa yetu, na funga sio watu wanafunga mwezi wa Ramadhani tu la hasha ziko funga nyingine nyingi tu za sunnah ila hii Ramadhani ni lazima, sasa kwanini lazima hayo maswali ndio unapewa baadhi ya majibu yake na faida zake, ila ni lazima kwa kile alie muislam afunge mwezi mtukufu wa Ramadhani, ni miongoni mwa nguzo kuu za uislam.
 
Millions around the world have successfully observed the spiritual cleansing of Ramadan for more than a thousand years,

1) Boost Your Brain

No doubt you’ll be aware of the positive effects fasting can have on your mental wellbeing and spiritual focus, but the brain-boosting powers of Ramadan are even more significant than you might think. A study carried out by scientists in the USA found that the mental focus achieved during Ramadan increases the level of brain-derived neurotrophic factor, which causes the body to produce more brain cells, thus improving brain function.

Likewise, a distinct reduction in the amount of the hormone cortisol, produced by the adrenal gland, means that stress levels are greatly reduced both during and after Ramadan.

2) Ditch Bad Habits

Because you will be fasting during the day, Ramadan is the perfect time to ditch your bad habits for good. Vices such as smoking and sugary foods should not be indulged during Ramadan, and as you abstain from them your body will gradually acclimatise to their absence, until your addiction is kicked for good.

It’s also much easier to quit habits when you do so in a group, which should be easy to find during Ramadan. Fasting’s ability to help you cut out bad habits is so significant that the UK’s National Health Service recommends it as the ideal time to ditch smoking.

3) Lower Cholesterol

We all know that weight loss is one of the possible physical outcomes of fasting during Ramadan, but there’s also a whole host of healthy changes going on behind the scenes. A team of cardiologists in the UAE found that people observing Ramadan enjoy a positive effect on their lipid profile, which means there is a reduction of cholesterol in the blood.

Low cholesterol increases cardiovascular health, greatly reducing the risk of suffering from heart disease, a heart attack, or a stroke. What’s more, if you follow a healthy diet after Ramadan, this newly lowered cholesterol level should be easy to maintain.

4) Lasting Appetite Reduction

One of the main problems with extreme fad diets is that any weight lost is often quickly put back on, sometimes even with a little added extra. This isn’t the case with Ramadan. The reduction in food consumed throughout fasting causes your stomach to gradually shrink, meaning you’ll need to eat less food to feel full.

If you want to get into the habit of healthy eating then Ramadan is a great time to start. When it’s finished your appetite will be lower than it was before, and you’ll be far less likely to overindulge with your eating.

5) Detoxify

As well as being great for spiritually cleansing yourself, Ramadan acts as a fantastic detox for your body. By not eating or drinking throughout the day your body will be offered the rare chance to detoxify your digestive system throughout the month.

When your body starts eating into fat reserves to create energy, it will also burn away any harmful toxins that might be present in fat deposits. This body cleanse will leave a healthy blank slate behind, and is the perfect stepping stone to a consistently healthy lifestyle.

6) Absorb More Nutrients

By not eating throughout the day during Ramadan you’ll find that your metabolism becomes more efficient, meaning the amount of nutrients you absorb from food improves. This is because of an increase in a hormone called adiponectin, which is produced by a combination of fasting and eating late at night, and allows your muscles to absorb more nutrients.

This will lead to health benefits all around the body, as various areas are able to better absorb and make use of the nutrients they need to function.

7) Dates

Although three dates are eaten at the start of Iftar every day during Ramadan for spiritual reasons, they also come with the added bonus of multiple health benefits. One of the most important aspects of fasting is getting the right amount of energy, and considering an average serving of dates contains 31 grams (just over 1 oz) of carbohydrates, this is one of the perfect foods to give you a boost.

Dates are also a great way of getting some much-needed fibre, which will aid and improve digestion throughout Ramadan. Add to that their high levels of potassium, magnesium and B vitamins, and it quickly becomes apparent that dates are one of the healthiest fruits out there.
Nimeikubali moja tu,ditch bad habits
 
ukiwa kafiri mgalatia huwezi kujua faida ya ramadhani mpaka uwe muislam . mungu sio ngwajima mungu kapanga siku maalum kuwa iwe ramadhan baraka zake ni kubwa

Hii ndio Funga Yenye Faida DUNIANI hadi AHERA! Funga za kubadilisha kula, badala ya kula mchana mnakula usiku kucha...Jirani yangu sasa hivi ameota kitambi, kwa kupakia mazagazaga WAKTI mzee wake anakufa njaa kijijini!
IMG_20190522_100729_336.jpeg
 
Hii ndio Funga Yenye Faida DUNIANI hadi AHERA! Funga za kubadilisha kula, badala ya kula mchana mnakula usiku kucha...Jirani yangu sasa hivi ameota kitambi, kwa kupakia mazagazaga WAKTI mzee wake anakufa njaa kijijini!View attachment 1104335
Ulafi na kuvimbiwa hudumaza akili,

Haya yooote uyasemayo nadhani tutayapima kwa vitendo,
Inabidi tuangalie nchi ambazo wengi ni wanaofunga huo mfungo na ambazo wengi siyo wa huo mfungo ni zipi zinaongoza kwa kuwa wa aina ya faida tajwa,
Tuanze na la ubongo(akili)
 
Ina maana hata kipindi cha mfungo wa wakristo(kwaresma) unaweza pia kupata hizo faida kwa maana nao wanafunga , au mpaka iwe ramadhani tu?
Wakiristo hawafungi Bali wanakula wasishibe. Na ngono Ruksa upande wao.

Funga yyt ina faida na sio lzm ramadhani
Lkn tukisema FUNGA maana yake USILE WALA KUNYWA KITU CHOCHOTE wala kuwekewa kimiminika chochote ktk mwili wako (mfano Sindano au Drip ) na wala KUFANYA TENDO LA NDOA kuanzia jua likichomoza mpk linazama kwa AJILI YA MUNGU MMOJA TU.

Kinyume cha hayo ni KUSHINDA NJAA na Sio kufunga.
 
Kwenye uislam kila ibada ina wakati wake, sawa! Na kwenye ukristo kila ibada pia ina wakati wake, sasa hapo umeeleza faida za kufunga kula ambazo pia unaweza kuzipata kipindi cha mfungo wa wakristo(kwaresma). Au hizo faida za kutokula ni mpaka ramadhani tu?
Hakuna mtu kasema "KUTOKULA" Bali kichwa cha habari ni SWAUMU YA RAMADHANI.

Iko tofauti kubwa sana baina ya KUFUNGA na KUSHINDA NJAA. Wakristo HAWAFUNGI SWAUMU Bali wanaacha KULA tu.

Nadhani ungeiliza kwanza maana halisi ya KUFUNGA SWAUMU YA RAMADHANI.
 
Hakuna mtu kasema "KUTOKULA" Bali kichwa cha habari ni SWAUMU YA RAMADHANI.

Iko tofauti kubwa sana baina ya KUFUNGA na KUSHINDA NJAA. Wakristo HAWAFUNGI SWAUMU Bali wanaacha KULA tu.

Nadhani ungeiliza kwanza maana halisi ya KUFUNGA SWAUMU YA RAMADHANI.
wewe msemaji wa WAKRISTO??
 
Kwenye uislam kila ibada ina wakati wake, sawa! Na kwenye ukristo kila ibada pia ina wakati wake, sasa hapo umeeleza faida za kufunga kula ambazo pia unaweza kuzipata kipindi cha mfungo wa wakristo(kwaresma). Au hizo faida za kutokula ni mpaka ramadhani tu?
Tunafunga mwezi wa Ramadhani kwa sababu Quran imetufundisha tufunge mwezi wa Ramadhan.

Kwanini na nyie Mnakwenda kanisani kila siku ya jumapili? Kwa nini hamuendi siku ya ijumaa?

Jibu lako litakuwa ni hili:

Kwa sababu jumapili ni siku ya ibada (kwenu) au sio?

-----------------

Basi na sisi, Ramadhan ni mwezi wa Ibada ya funga kwetu.

Pia unaweza kufunga mwezi mingine saumu ya suna (lakini Ramadhani ni Saumu ya Faridha).
 
Kuna watu ni wajinga sana, sisi haousegirl wetu ni muislam na anafunga, ila nyumba nzima hatufungi! Wao wameeleza faida za kufunga, ambazo sio lazima mpka iwe ramadhan! Eti ramadhan wanafunga wengi, aje huku aone kama wengi wamefunga au laa!
Tunafunga kwa sababu tumeambiwa na Mungu tufunge.

Hii inatosha kwetu.
 
Hakuna uhusiano kati ya huo mwezi na hizo faida ingawaje sijazihakiki, swali la msingi je ukiamua kufunga January au December hutapata hizo faida? Kama jawabu ni ndio basi Ramadhan ni mwezi usiokuwa na jipya na ni mwezi kama ilivyo mingine.
Ramadhan ni mwezi wa Ibada ya funga (ya faridha), kwetu.

Pia unaweza kufunga mwezi mingine (nje ya mwezi wa Ramadhani) saumu ya suna.

Mtume saw katufundisha pia kufunga siku tatu kila mwezi. Na kuna saumu nyingi sana za suna unaweza kuzifunga nje ya Ramadhani.
 
Hakuna uhusiano kati ya huo mwezi na hizo faida ingawaje sijazihakiki, swali la msingi je ukiamua kufunga January au December hutapata hizo faida? Kama jawabu ni ndio basi Ramadhan ni mwezi usiokuwa na jipya na ni mwezi kama ilivyo mingine.
Yaani mgalatia roho inakuuma vibaya sana kusikia mwezi wa kiislamu una faida.
Teh teh teh teh.
Dah....
Ndio maana Paulo aliuliza kwenye wagalatia 3:1
Enyi wagalatia msiokuwana akili je!.ni nani aliyewaloga?
 
Back
Top Bottom