Walifanya hivyo kwa maana wao walikuwa na nguvu zaidi na walitaka rasilimali zaid
Pia sisi tungekuwa na nguvy zaidi yao tungefanya hivyo pia.
"EVAERYBODY WANTS TO RULE THE WORLD"
kama uongo ebu angalia waafrika wenzenu wanavyo wafanyia nyie ngozi nyeusi wenzenu huku mkiwa bado mnalalamika aliyoyafanya mzungu miaka 100 iliopita.