64001 NI NETWORk GANI

Tritel si zantel hahaha. Kaka umesahau zamaniii tanzania kulikua na mitandao miwili wa zanzibar tritel na bara mobitel so tritel ndo zantel.

Sema tritel 3g ni network ya cdma so inafanya kazi kwa modem zao tu. Ila pale barabara 7 zipo line za cdma kwenye ofisi zao

hapa kuna zantel pamoja na hyo tritel na mitandao mngne unayoijua niki search ndo naona natumia nokia c5-00
 
Identification codes for Public Cellular Networks ndo hizi hapa kwa mujibu wa TCRA

S/N
OPERATOR
ASSIGNED CODE
1.
RURAL NETCO LIMITED
640-01
2.
MIC (T) LIMITED
640-02
3.
ZANTEL (T) LIMITED
640-03
4.
VODACOM (T) LIMITED
640-04
5.
CELTEL (T) LTD
640-05
6.
DOVETEL (T) LIMITED
640-06
7.
TTCL
640-07
8.
BENSON ONLINE
640-08
9.
EXCELLENTCOM (T) LTD
640-09
10.
SMILE COMMUNICATIONS (T) LTD
640-11
 
640 09hits
640 02mobitel
640 06sasatel
640 11smilecom
640 01tritel
640 07ttcl mobile
640 08ttcl mobile
640 04vodacom
640 05zain
640 03zantel

UMESOMEKA MKUU.
SASA HIYO TRITEL NITUMIE LINE IPI KUINASA KWENYE KA Ideos KANGU,
 
wewe unga hiyo net kwa hiyo laini ya voda kisha chagua default in all application toa voda eka airtel tumia internet kama kawa.....
 
kwa wale wa ideos na other android phone mnaweza kutumia mbinu mbadala kulazimisha simu ibaki kwenye 3g mda mwingi ingiza hizi code halafu chagua wcdma preffered
*#*#4636#*#*
unaweza kuchagua wcdma only ikiwa eneo ulipo network ya 3g haisumbui ila ukitoka nje ya mji network itakata hivyo ni lazima kurudisha kwenye preffered.
 
UMESOMEKA Mkuu, KUMBE HAKA KADUDE KANA NASA HAD CDMA??
 
Back
Top Bottom