64001 NI NETWORk GANI

NingaR

JF-Expert Member
Apr 15, 2012
2,759
588
NINAPO SEARCH NETWORKS KATIKA KA SIMU CHANGU KUNA NETWORK INAKUJA IMEANDIKWA 64001 3G NDO NETWORK PEKEE YENYE 3G ENEO HILI, NAOMBA KUJUZWA KUA NI NETWORK YA KAMPUNI GANI SABABU HIVI VI 2G VINALETA MAGUMASHI SANA. Akhsanteni
 
Me NATUMIA AIRTEL KWENYE KA IDEOS KANGU LAKINI NIKISELECT HIYO NETWORK INA GOMA NA PIA NIKI SEARCH NETWORKS ZINA KUJA HIZI

AIRTEL TZ 2G
Vodacom Tanzania Ltd 2G
64001 3G
Zanzibar Telecom Ltd 2G
MIC Tanzania Limited 2G
 
Wakuu YAANI BILA 3G MAISHA MAGUMU HUKU, 2G NI YA KIKUDA
 
dah na hku ddma niki search kna 1 imeandikwa tritel

Tritel si zantel hahaha. Kaka umesahau zamaniii tanzania kulikua na mitandao miwili wa zanzibar tritel na bara mobitel so tritel ndo zantel.

Sema tritel 3g ni network ya cdma so inafanya kazi kwa modem zao tu. Ila pale barabara 7 zipo line za cdma kwenye ofisi zao
 
HIYO KITU YA 64001 3G INA NASA KWA Vodacom LAKINI TATIZO INA NAMBIA INTERNET CONNECTION LOST DUE TO ROAMING......... LAKINI NI KITICK CHECK BOX YA ROAMING KI2 3G INASHIKA KA KAWA, SO HII INAMAANISHA KUA SI NETWORK YA VODA SWALI JE NI YA COMPANY IPI??? COZ VODA INTERNET GHALAMA KA NINI HII NETWORK INGE KUA YA AIRTEL PANGEKUA MWAKE SAAANA NA VI400MB MAISHA SAFI SANA. SO JAMANI NIFANYEJE COZ VODA GHALAMA NA AIRTEL 2G HATA YouTube STREAMING CHECHE
 
mbona niki select inagoma ku connect mkuu me pia natumia airtel.

Ni sababu eneo ulilopo hamna coverage ya 3G! Mi nkisearch kwenye cm yangu ya android huwa inaniletea hyo namba na nkiconnec ni Airtel..
 
Ni sababu eneo ulilopo hamna coverage ya 3G! Mi nkisearch kwenye cm yangu ya android huwa inaniletea hyo namba na nkiconnec ni Airtel..

Huku Me NACONNECT NA VODACOM LAKINI INANILETEA MADUDE YA ROAMING, NATUMIA ANDROID PIA, NA NIKISEARVH NETWORKS INAKUJA AIRTEL 2G,64001 3G NA ZINGINEZO KASORO ZANTEL, NGOJA NIKOMAE NAYO ISHIKE KWA AIRTEL COZ VODACOM INTERNET GHALAMA KAMA NINI
 
Huku Me NACONNECT NA VODACOM LAKINI INANILETEA MADUDE YA ROAMING, NATUMIA ANDROID PIA, NA NIKISEARVH NETWORKS INAKUJA AIRTEL 2G,64001 3G NA ZINGINEZO KASORO ZANTEL, NGOJA NIKOMAE NAYO ISHIKE KWA AIRTEL COZ VODACOM INTERNET GHALAMA KAMA NINI
New bundles za Airtel
Bundle (MB)Price (Tsh)ValidtyKeyword by SMS.Out Of Bundle
price (per MB)
251,50030 Days25MB100
1506,00030 Days150MB100
25010,00030 Days250MB100
50012,00030 Days500MB100
102415,00030 Days1GB75
204825,00030 Days2GB75
307230,00030 Days3GB75
512045,00030 Days5GB75
819270,00030 Days8GB75
15360140,00030 Days15GB75

Time Based Bundles
BundlePrice (Tsh)ValidityKeyword by SMS
Hourly20060 MinutesHOUR
Daily50024 HoursDAY
Weekly100007 DaysWEEK
Monthly3000030 DaysMONTH

Niambie huo ucheap uko wapi?
 
New bundles za Airtel
Bundle (MB)Price (Tsh)ValidtyKeyword by SMS.Out Of Bundle
price (per MB)
251,50030 Days25MB100
1506,00030 Days150MB100
25010,00030 Days250MB100
50012,00030 Days500MB100
102415,00030 Days1GB75
204825,00030 Days2GB75
307230,00030 Days3GB75
512045,00030 Days5GB75
819270,00030 Days8GB75
15360140,00030 Days15GB75

Time Based Bundles
BundlePrice (Tsh)ValidityKeyword by SMS
Hourly20060 MinutesHOUR
Daily50024 HoursDAY
Weekly100007 DaysWEEK
Monthly3000030 DaysMONTH

Niambie huo ucheap uko wapi?

Mkuu Me NATUMIA KITU CHA 400Mb KWA Tsh 2,500/=
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom