62 yrs old anataka kuongezewa muda kazini- NHIF

62 yrs old anataka kuongezewa muda kazini- NHIF

kwani umekatazwa kuchukua kadi? au unasubiria uletewe?,watanzania kazi kulalamika tu
Unyonyaji wa hali ya juu mtu kadi huna makato yanaendelea utafikiri kodi ya laini ya simu
 
mwacheni apige kazi,amefanya kazi nzuri na kwa sasa tunaogopa kumpa mtu mwingine asije kulifanya shirika kama la familia.aendelee tu ilimradi shirika linaonekana linafanya kazi.
kwa mfano bwana Nehemia wa NATIONAL HOUSING hata akitaka mkataba wa maisha atapewa,kwani amelipeleka shirika ktk level ambayo haikutegemewa kabisa.
hatutaki yatokee ya SHIRILA LA NDEGE,alivyo pewa bwana fulani tu na shirika likafa
 
Humba is a great hero. Tanzania ingekuwa na CEO's 100 kama yeye it could have been a better place. Issue sio kustaafu, issue imekuwa ghafla and as a hero he did not get the respect he deserves. Alikuwa bold enough ama shirika lisingesimama na kama the next CEO atakuwa fisadi,tutulie tuone its downfall. Big Up Mr. Humba.
 
Muda ukifika na ukastaafu ndio hitimisho kuu la uadilifu.lkn muda ukifika usipostaafu ni hitimisho la juu la ufisadi kandamizi. Yaani maana yake umejitengenezea njia ya kuendelea kuwepo au kuhitajika huduma zako kwa kucheza na akili za wakubwa zako.si yeye tu wako wengi ktk ofisi za umma hawana huruma kwa vijana walionje ya ajira.binafsi natoa pongezi kwa mwl julius nyerere.mzee ali hassan mwinyi na mh benjamin william mkapa wengine ktk nafasi zenu igeni hakuna mwenye umuhimu kama rais lkn wakati ukifika anastaafu wewe je?
 
Kwa Tanzania hakuna shirika lenye nidhamu ya juu kama NHIF.
EBD HUMBA amelitumikia shirika kwa uadilifu wa hali ya juu sana. Nadhani ni shirika pekee lisilotumia magari ya ofisi kuchukua na kupeleka wafanyakazi makwao akiwemo Mkurugenzi mkuu. Anasitahiri kuongezewa mda
Either hujui unachokisema au una ajenda ya kumtetea huyu mzee mbinafsi. Ni kweli wakurugenzi wengine hawachukuliwi na magari ila gari lake humchukua yeye, mkewe, linapeleka watoto shule na kadhalika. Nashangaa unasema hata yeye halimchukui.
Kwa wanaosema ni muadilifu ni kwa sababu tu ni shirika ambalo kamwe haliwezi kutetereka kimapato. Huyu mzee hana utu, super arrogant, mfitini na uliza wafanyakazi utaambiwa navyoendekeza majungu. Hupati cheo kirahisi bila kuwa na majungu au una uhusiano, undugu na viongozi wa serikali au yeye mwenyewe. Uliza watu wanavyohamishwa kibwege pale. Uliza vyeo vinavyoundwa bila mpangilio pale ili kuwatengenezea ulaji watu aliokuwa anawataka. NHIF kuna makundi yanayochukiana na kuwindana sana kwa sababu ya huyu mzee, fanya uchunguzi usioelemea upande wowote utaambiwa.
Kukatiziwa kwake mkataba kunaweza kuwa kielelezo cha kuwa hakuwa muadilifu sana kama baadhi ya watu huku wanavyomtetea. Vipi manunuzi yaliyohojiwa na CAG ya mabilioni ya fedha ambayo yeye ana taarifa nayo??
vipi kuhusu kutokuwa na efficient audit committee. Umeona wapi Auditors wanareport kwa CEO badala ya Audit committee.
Nina wasiwasi na wanaomtetea kuwa pengine ni vibaraka wake au hawamjui vizuri. Kazi anasaidiwa na watu ambao ni watendaji, mfuko haukuanzishwa na yeye mwenyewe. Narudia kusema kukatiziwa kwake mkataba GHAFLA kunaweza kueleza hali halisi. Na ana bahati sana kufika hapo alipofika salama.
Kwa ubaya aliowafanyia watu nadhani amelipwa hapa hapa na hajaondoka vizuri. Amelazimishwa kuongezewa mkataba imeshindikana.
Nadhani nisiendelee sana ili nisionekane nina biased opinion kuhusu huyu mzee, "what goes around comes around....it doesnt matter when"
 
mwacheni apige kazi,amefanya kazi nzuri na kwa sasa tunaogopa kumpa mtu mwingine asije kulifanya shirika kama la familia.aendelee tu ilimradi shirika linaonekana linafanya kazi.
kwa mfano bwana Nehemia wa NATIONAL HOUSING hata akitaka mkataba wa maisha atapewa,kwani amelipeleka shirika ktk level ambayo haikutegemewa kabisa.
hatutaki yatokee ya SHIRILA LA NDEGE,alivyo pewa bwana fulani tu na shirika likafa
Shirika la ndege ni maiti siku nyingi tu. NHIF ni tofauti sana na ATC. NHIF ni moja ya mashirika yanayoingiza bila jasho. Je unajua matumizi yao yakoje??? Soma Audit report ya CAG iliyopita halafu uje urudie ulichokisema. Hela ipo, ya kunyamazisha watu legelege, bodi legelege, auditors legelege, na bado wasifilisike.
Hakuwa na succession plan? if so, you can confirm kuwa he wasnt a great manager, alikuwa mchoyo kwa sababu alijua mwisho ni miaka sitini. Yeye ana zaidi ya 65 sasa na bado alitaka kuendelea hadi 2015.
 
Humba is a great hero. Tanzania ingekuwa na CEO's 100 kama yeye it could have been a better place. Issue sio kustaafu, issue imekuwa ghafla and as a hero he did not get the respect he deserves. Alikuwa bold enough ama shirika lisingesimama na kama the next CEO atakuwa fisadi,tutulie tuone its downfall. Big Up Mr. Humba.
he did not get the respect you claim he deserves because in fact he doesnt deserve one. Tanzania ingekuwa na CEOs mia kama yeye tungekuwa na mashirika mia yenye wafanyakazi wenye majungu ili wapate vyeo na kulindwa maslahi yao(Wafanyakazi waadilifu wa NHIF mtanisamehe). tungekuwa na mashirika mia yenye CEOs arogant, wasiokuwa na utu na wanaovaa ngozi ya kondoo wakiwa kweye media.
Who are you kutabiri kuwa the next CEO atakuwa fisadi, au tayari unamjua. This shows that you just wanted him to remain there na sio kwa manufaa ya wafanyakazi wote wa NHIF, wananchi, na wadau.
 
Jamani mzee wetu, sijui kwanini wamemtoa ghafla hivi. sasa mwisho wa shirika unakaribia, maana wenye meno wanajiadaa kuanza kuchota bila aibu. Mungu akulinde mzee wetu EBD Humba
Mzee alindwe na mola kama unvyosema ila unashangaza kusema shirika litakufa au ni mmoja wa watu "wanaochukia mabadiliko?" Yeye asingekaa milele pale, kama ni kiongozi mzuri angeandaa mtu au watu wa kurithi mikoba yake sio kila siku KUNG'ANG'ANIA aongezewe mkataba. Do not try to fool people. NHIF will never die. Idara za kusimamia hilo ziko nyingi.
 
Mzee kesha staafu kumwita ni FISADI siyo kweli ni kati ya CEOs wachache waadilifu sana, ila udhaifu wake ni kuwapendelea rafiki zake alioanza nao shirika akiwa ametoka nao NSSF .. hawa jamaa ndio waliokuwa very powerful ndani ya Mfuko na ni mabingwa wa FITNA...sasa yupo DDG alitokea LAPF sasa sijui hali itakuwaje kwa ndugu zetu wa NHIF...Lets wait and see!!
1. Amekatishiwa mkataba ghafla na wala hajastaafu kwa kupenda
2. Hana uadilifu unaousema, anaendekeza majungu, makundi, uhusiano usiofaa, n.k
3. Udhaifu wake wa upendeleo kwa rafiki zake unathibitisha kuwa sio muadilifu
4. Its sad kuwa mashirika yetu mengi DGs wanakuwa na nguvu hata kuliko bodi, sijui kwa nini. There are few cases in Tz CEO anaweza kustaafu ukadhani alikuwa mzuri sana ndo maana akafika umri wa kustaafu, kumbe ni system zinashindwa kuwawajibisha sooner.
 
Back
Top Bottom