hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,884
- 2,781
Wapo wengi tu mbona serikalini
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kwani yuko mwenyewe tuu? watu tunaibiwa pesa zetu tuu na huduma mbovu, mtu una kadi ya kijani ila huwezi kumuona proffesional Doctors????????????????
Ni kweli kabisa NHIF inatuibia sana. Ingekuwa hiari kujiunga mimi nisingejiunga. Nina kadi ya kijani lakini mama yangu namtibia private hospital maana huduma ni mbovu sana (hata ukiwa na kadi ya kijani)!! Kwanza kwa magonjwa fulani ambayo wao wanaona ni gharama kubwa, unatakiwa ukaombe kibali kwao ili mgonjwa atibiwe. Wanakata hela zetu na hatuumwi mara kwa mara, ukiumwa wanataka ukaombe kibali utafikiri wanakufanyia hisani wakati wana hela zetu!!! Ila Mungu atawalaani kwa kutuibia. Mimi natumia hela zangu wakati wana hela zangu!!! God will deal with them!!Huyo ataachia ngazi tu na joto ya jiwe ataliona tu hata aongezewe miaka kumi. Atachia ngazi tu.
Mi nina ufahamu kidogo na NHIF. Kwa hiyo usilalamike ndugu embu tuambie mama unamtibia katika hospitali gani na kwa nini kadi yake haiwezi kumtibu maana siku hizi hakuna tofauti ya rangi za kadi.
Kadi zote zinaingia hospitali zote ikiwapo Regency ambayo mwanzoni ilikuwa haitaki kadi za brown na pia kitita cha mafao ni sawa kwa wote bila kujali rangi ya kadi au hali ya mwanachama.
watu wengine hulalamika kwa majumuisho, yawezekana alipata shida siku moja basi ikawa ndio kila siku ataiponda hiyo kadi ya NHIF, yawezekana pia akawa hana elimu ya kutosha juu ya wapi apate matibabu sahihi na kwa vipi.
mimi nimeshatumia kadi mbalimbali za bima za afya kwa namna hospitali zetu zilivyo usufumbu ni ule ule kwa kadi zote. lakini matibu mwisho wa siku unapata.
kwa kweli NHIF inajitahidi sana ukilinganisha na ulivyokuwa awali.
Maneno yatawatoka sana, ..ando, ....zar, ..hani kazi mliyo nayo ni kubwa sanaatakapoingia mwingine ndio tunaweza kupima uzuri wa uongozi kati yake na yule aliyepita. hata hivyo E.Humba aliuendesha mfuko huo kwa moyo na kuhakikisha unakuwa na kubadilika kukidhi mahitaji ya wananchama wake kila kukicha.
lakini yawezekana akaja mzuri zaidi, hayo yote tusubiri tuone.
Mi nina ufahamu kidogo na NHIF. Kwa hiyo usilalamike ndugu embu tuambie mama unamtibia katika hospitali gani na kwa nini kadi yake haiwezi kumtibu maana siku hizi hakuna tofauti ya rangi za kadi.
Kadi zote zinaingia hospitali zote ikiwapo Regency ambayo mwanzoni ilikuwa haitaki kadi za brown na pia kitita cha mafao ni sawa kwa wote bila kujali rangi ya kadi au hali ya mwanachama.
Maneno yatawatoka sana, ..ando, ....zar, ..hani kazi mliyo nayo ni kubwa sana
Kiongozi hii ni story ya kusikitisha ukizingatia regency huwa wanapata fedha nyingi sana kutoka NHIF. Unaonaje hii case ukaifikisha officially kwa viongozi wa Nhif kama customer complain ili waifanyie uchunguzi? Here we need actions and feedback wadau.Mama alipata stroke na nilikaa hiyo Regency yako masaa msaba hajapatiwa huduma ya maana. Na hapo nimeambiwa niende NHIf nikaombe kibali ili apigwe picha (CT Scan). Nikaenda na nikawakoromea sana ila haikusaidia. Walinipa kibali na nikarudi na akapigwa hiyo picha nikaambiwa majibu kesho. Nikarudi kwa daktari akaniambia nisubiri nje atanielekeza. Nilikaa nje na kila nikiwaombe watupe basi first aid wao wanasema mgonjwa sio serious hatuna kitanda. Yaani wanataka uende na mgonjwa ambae anakata roho ndio waone yuko serious. Nilioondoka saa nane toke saa mbili asubuhi bila huduma yoyote ile. regency huduma zao mbovu sana. Agakhan ilikuwa nzuri sana ila wametuondoa huko. Hospitali zote zilizobaki ni balaa. Muhimbili isingekuwa huo mgomo baridi nayo ni nzuri ila kuna hako kamgomo baridi. Kinaniuma sana kwani nakatwa elfu sabini kilka mwezi. Wezi sana hao!
Mkurugenzi wa NHIF kuongezewa muda wa kuliongoza shirika ikiwa ameshatimiza muda wa kustaafu. Hivi serikali yetu inatupeleka wapi.
Kiongozi hii ni story ya kusikitisha ukizingatia regency huwa wanapata fedha nyingi sana kutoka NHIF. Unaonaje hii case ukaifikisha officially kwa viongozi wa Nhif kama customer complain ili waifanyie uchunguzi? Here we need actions and feedback wadau.
Dawa ni kuinama upepo upite,upepo tu ndugu yangu utapita.
Mkurugenzi wa NHIF
kuongezewa muda wa kuliongoza shirika ikiwa ameshatimiza muda wa
kustaafu. Hivi serikali yetu inatupeleka wapi.
Unyonyaji wa hali ya juu mtu kadi huna makato yanaendelea utafikiri kodi ya laini ya simu